BAKWATA na funga ya Arafa

drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
4,664
4,764
Napenda niwaulize bakwata na wanaoikubali bakwata inakuwaje funga ya arafaa iwe tarehe 20/7 jumanne badala ya 19/7 jumatatu.

Mtume mohamad s.a.w anasema fungeni siku ya arafaa. anakusudia kuwa mahujaji wanaposimama arafaa siku hiyo ulimwengu wote wafunge.

Sasa bakwata mnafunga siku mahujaji wamemaliza kisimamo kwenye uwanja wa arafaa siku ya pili yake ndio mnafunga. Huoni mnawapotosha waumini.

Ninawawahusia waislamu mwenye kumuamini mufti na sheikh wa mkoa malipo yao watayaona na mwenye kumuamini Allah na Mtume wake malipo yao watayapata.
 
kiukweli hiki kikundi cha bakwata siwezi kukikubali kutokanacjinsi kinavosimamia waislam tz.
bakwata haina jambo lolote la muhim kwa waislam zaidi nikuhitilafisha waislam na jambo lao la muandamo wa mwezi yaani ikifika ramadan ndio wanaibuka kutuandamishia mwezi wao wa tanganyika
 
Huna unalojua
 
Mimi nawashangaa hao wanaoendelea kuwafuata BAKWATA

BAKWATA ni wahuni wa CCM
leo kunatamasha la kuhifadhi kuraan linafanyika Uwanjawa taifa limeletwa kwetu na taasisi inayojitambua inayojua waislam Tz wanahitaji nini.
na hao bakwata kupitia ustadh wao ZUBERI nao wamekuwa kwa mara zote ni waalikwa tu yaani hawana uwezo wa kuwafanyia waislam jambo kama hili uwezo wao ni kuandamisha mwezi tu
 
Huna unalojua
huna tofauti na shehe zuberi wote nyie waandamishaji mwezi tu ndio mnachoweza.
kama nyie ni wanaume hebu fanyeni hili japo kwa mkoa tu mana tunajua hamna uwezo kimataifa.
mtaishia kubebwa tu navkuandamisha mwezi
 
Huna unalojua
onacmnavojichanganya... makafirnyie
JamiiForums

Nawasalimu kwa salam ya maamkiz ya peponi Assalam aleikum warhamtullah wabarrakat.

Nimeona tangazo la Muft wa Tanzania anasema swala ya Idd ya kuchinja itakuwa siku ya jumatano ikiwa inamaana arrafa ni jumanne kwa mujibu wa bakwata...kwanza nasikitika viongozi wetu wa dini wanatangaza Idd na wakati Idd ni sunna tu ila Arafa ni tukio kubwa la arafa halipi uzito Mtume muhhamad (S.A.W) anasema Hijja ni Arafa hata walioenda makka wakiikosa arafa hawana hijja ila viogozi wetu sijui kwa maslah gani wanakimbilia kutangaza Idd na wakati haina uzito wa Arafa hakuna siku takatifu hapa duniani kama siku ya arafa, hutuba kubwa kabisa ya muhhamad kuwaaga waislam na ulimwengu aliifanya siku ya arafa siku ya watu kusamehewa madhambi, shetan anaumia sana kaz alioifanya inabatilishwa lakin viongozi wa dini wanakimbilia kutangaza Idd tena siku ambayo sio ya kweli..

Ndungu zangu katika iman Arafa ipo moja tu ikipita hiyo hakuna tena arafa tupo kwenye ulimwegu wa sayansi na tecnolijia television na mitandao yote itakuwa live mtajionea wenyewe wenzetu wakiwa kwemye viwanja vya arafa hivi kweli bado tunasubiri kutangaziwa nini cha kufanya ni lini? Zipo chanel za makka zinaiensha leo ni mwez sita hivyo arafa ni jumatatu na kufunga jumanne ni haramu sababu ni siku ya sikukuu na kikubwa nchi yetu na saudi arabia hatupishan muda..kama utaswali jumatano,jumanne au alhamis ni juu yako sababu hiyo ni sunna ila jumatatu isikupite kufunga arafa ili tupate msamaha wa Allah...jumatatu funga utajua mwenyewe utaswali lini iDD ni sunna iliyosisitizwa ili ukiikosa hupati dhambi ilia ukiikosa arafa utakuwa mwenye hasara kubwa.

Wabbilah tawfiq
 
huna tofauti na shehe zuberi wote nyie waandamishaji mwezi tu ndio mnachoweza.
kama nyie ni wanaume hebu fanyeni hili japo kwa mkoa tu mana tunajua hamna uwezo kimataifa.
mtaishia kubebwa tu navkuandamisha mwezi
Wewe si ndio sheikh alhad leo unatugeuka!!?
 
Watu wanaofuata muandamo wa mwezi wa Saudia wengi ni mambumbu wa masuala ya dini

Mnatakiwa kwanza mkasome ili mjue ni kilianza kati ya funga ya arafa na hija

Mtume alianza kufunga arafa kabla amri ya hija miaka 3 baadae ndio ikaja amri ya hija hivyo hakuna uhusiano wowote katika ya funga ya arafa na hija

Siwakubali sana Bakwata lakini katika hili wapo sahihi
 
Hata kama kutatokea mwaka Saudia kuna janga litakalofanya hija isiwepo lakini bado watu watafunga arafa japo hakuna hija maana hivi vitu 2 havina uhusiano
 
Watu wanaofuata muandamo wa mwezi wa Saudia wengi ni mambumbu wa masuala ya dini

Mnatakiwa kwanza mkasome ili mjue ni kilianza kati ya funga ya arafa na hija

Mtume alianza kufunga arafa kabla amri ya hija miaka 3 baadae ndio ikaja amri ya hija hivyo hakuna uhusiano wowote katika ya funga ya arafa na hija

Siwakubali sana Bakwata lakini katika hili wapo sahihi
BAKWATA!!
uwezo wenu ni kuandamiasha Mwezi wenu wa Tanzania tu.
oneni aibu hii tangu mmekasimiwa kutawala waislam TZ hamjawahi fanya jambo la kheri zaidi ni kuhitalafisha waislam.
HEBU ONENI TUKIO LINALOFANYWA UWANJA WA TAIFA LEO NYINYI LINI MTATUONYESHA UTU WENU KWA WAISLAM TZ?
hebu jaribuni japo kuandaa hata mashindano ya Wilaya tu angalao mpate onekana mko pamoja na waislam tz mueleweke kuliko kukomaa na kuandamisha mwezi wenu wa Tanzania tu
 
Watu wanaofuata muandamo wa mwezi wa Saudia wengi ni mambumbu wa masuala ya dini

Mnatakiwa kwanza mkasome ili mjue ni kilianza kati ya funga ya arafa na hija

Mtume alianza kufunga arafa kabla amri ya hija miaka 3 baadae ndio ikaja amri ya hija hivyo hakuna uhusiano wowote katika ya funga ya arafa na hija

Siwakubali sana Bakwata lakini katika hili wapo sahihi

Acha kujishushi heshima mkuu, Maamrisho yapo wazi kabisa na wala hapana chenga kuhusu suala la Arafa na Iddi
 
leo kunatamasha la kuhifadhi kuraan linafanyika Uwanjawa taifa limeletwa kwetu na taasisi inayojitambua inayojua waislam Tz wanahitaji nini.
na hao bakwata kupitia ustadh wao ZUBERI nao wamekuwa kwa mara zote ni waalikwa tu yaani hawana uwezo wa kuwafanyia waislam jambo kama hili uwezo wao ni kuandamisha mwezi tu

MKuu ho jamaa wapo kwa ajili ya kuudumaza Uislamu na sio kuupeleka mbele, BAKWATA ni genge la wahuni wa CCM lililoekwa kwa ajili ya Kudumaza Uislamu na Waislamu Nchini.
 
Back
Top Bottom