HIyo mbona ni kawaida sana kwa CCM. We cha kufanya pigia kura chama kingine pale 2015. Bora upigie hata UDP kuliko CCM.
Niliwahi kufanya kazi kampuni moja ya kigeni kule Mtwara, hawa wajinga wanakuja na mibarua yao yaani tena wanalazimisha kupewa hiyo michango, na sio mara moja yaani kila tukio likitokea wao na barua za kulazimisha michango. Wanaudhi sana makenge hawa.HIyo mbona ni kawaida sana kwa CCM. We cha kufanya pigia kura chama kingine pale 2015. Bora upigie hata UDP kuliko CCM.
CCM NI MAJAMBAZI KWELI. Hata kwenye uchaguzi wa hivi karibuni watumishi wa serikali walipata shida sana huko wilayani.Wakurugenzi walilazimishwa kutoa 100,000. wakuu wa idara wa halmsahuri kila moja 50,000 mbali na wafanyibishara walio katika wilaya husika. ccm ni janga na kwa sasa kuwa chini ya jangili Kinena ni balaa.Mkuu Sam Upendo kwao ni halali kabis aila wakifanya wengine ni mwiko na balaa
Unafiki ulioje kusema unaenda kuongea na wafanyabiashara wenye kununua korosho na wakati huo huo watakaochangia ziara zako ni wale wale wafanyabiashara
Hapo hakuna mkulima hata mmoja atakeyetumiwa barua ya aina hiyo