MMAHE
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 815
- 420
- Thread starter
- #41
Barua hii ilikuwa inakwenda kwa nani au ni mtu yo yote yule anaweze kupewa? Na kwa mtindo huu ni rahisi pesa zikiishia mikono mwa wale walitumwa kupeleka barua hizo. Ndiyo namna ya wana CCM Mkoa na Wilaya kula alafu wanasema CCM ina wenyewe!
kwenye ofisi mbalimbali za mji huu,ikiwemo na ofisi yetu.ukiwapa wanatoa risiti kabisa. nilijitahidi kuficha barua isilipwe nikaishia kupewa warning!