MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Ujumbe wa 2014 jamani. Bado tunawapenda sana na kuwategemea katika ujenzi wa familia zenu na taifa letu kwa ujumla.
Huu msemo sijui una maana gani...
Usitumie kabang wakati wa kugegeda wakati kigegedo kipo....
umeitoa wapi hii maneno?[/QUOT
Huu msemo sijui una maana gani...
usiibe ruti.
Ujumbe wa 2014 jamani. Bado tunawapenda sana na kuwategemea katika ujenzi wa familia zenu na taifa letu kwa ujumla.
Nilicheka sana watu walivyokuwa wanajitahidi kuguess maana ya ujumbe huu last week..... eti ni madereva wa magari wanaaswa kutokutanua barabarani, baki njia kuu. Big Up PSI
Hivi kuchepuka wanamaanisha tusitumie mtandao wa 0713 au?
Hivi kuchepuka wanamaanisha tusitumie mtandao wa 0713 au?
Kama wewe ndo mpango wake wa kando, unaweza ukamshauri hilo mwanaume wako...Say no to MPANGO WA KANDO
Endelea kutumia eatel..yatosha