JOFFREY BARATHEON
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 107
- 195
kwa nini wasimpe uwaziri tujue moja?
Kwani amekwambia kuwa anautaka uwaziri?kwa nini wasimpe uwaziri tujue moja?
![]()
Uwaziri? Hela yake tu ni cheo tosha ndiyo maana yupo na hao unao waona hapo
Aje kua mbunge wetu huku mbinga magharibi maana tulichagua box tupu
OK, nimekuelewa, kwahiyo watu hupewa uwaziri ili waingie kwenye orodha cum jarida LA Forbes!!!!!!!?????Kwani amekwambia kuwa anautaka uwaziri?
Kutokana na orodha ya Forbes, yeye ni miongoni mwa matajiri wakubwa 20 barani Afrika, kwa hiyo sidhani kama anautaka huo uwaziri.
Aje kua mbunge wetu huku mbinga magharibi maana tulichagua box tupu