Bakhressa apewe uwaziri

Bakhressa apewe uwaziri

JOFFREY BARATHEON

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
107
Reaction score
195
kwa nini wasimpe uwaziri tujue moja?

001.jpg
 
kwa nini wasimpe uwaziri tujue moja?

001.jpg
Kwani amekwambia kuwa anautaka uwaziri?

Kutokana na orodha ya Forbes, yeye ni miongoni mwa matajiri wakubwa 20 barani Afrika, kwa hiyo sidhani kama anautaka huo uwaziri.
 
Hapo alipo ni zaidi ya waziri, watu kama hawa hii nchi wanaweza wakasababisha waziri akadeletiwa kwenye phonibuku ya baraza la mawaziri
 
Uwaziri si mchezo afadhali yeye atulie tu na hizo biashara zake asijiusishe na Siasa kabisa akitaka heshima yake iendelee kuwepo kama ilivyo.
 
Siasa Tanzania ni kazi ya kujidhalilisha, ndo mana vijana wanakimbia. Wamebaki wazee waliopitwa na wakati
 
Kanzu na mazoezi wapi na wapi hii mijitu kweli inakazi?
 
sijaelewa hasa mtoa mada amefananisha nini na nini mpaka kusema nini hapo juu!

kwa pesa tu alizonazo, ana vyeo vyote vya mawaziri Tz!

kwani uongo?

Pesa zake zina ushawishi mzito sana ndani na nje ya TZ!
 
mbona nilisikiaga hajui kusoma na kuandika,signature anaweka na dole gumba
 
Kwani amekwambia kuwa anautaka uwaziri?

Kutokana na orodha ya Forbes, yeye ni miongoni mwa matajiri wakubwa 20 barani Afrika, kwa hiyo sidhani kama anautaka huo uwaziri.
OK, nimekuelewa, kwahiyo watu hupewa uwaziri ili waingie kwenye orodha cum jarida LA Forbes!!!!!!!?????
 
...kazi anazowafanyia wakuu wa nchi ni zaidi ya uwaziri hata urais sema hana king'ora...
 
Mwenye pesa sio mwenzio kaka,wakati wewe unatafuta nafasi ya kuwaona hao wakubwa kwa udi na uvumba,mwenye pesa ndie hutafutwa,sasa fikiria kama je kuna deal yoyote ya nguvu huyo mzee wa Chamazi anaweza kuikosa?mtu kama Komba tu ameweza kumrubuni waziri mkuu ili serikali zinunue shule zake wakati ni lofa tu sembuse Mzee wa chamazi.Nchi hii ina wenyewe,halafu mazoezi gani hufanya na watu wamevaa kanzu na vibarakashia?sio bule huo mjumuiko una mambo.Ningependa wamshawishimzee wa chamazi kujenga shule nyingi na zahanati ili kushindana na wale wanaoitwa ''wanapendelewa kielimu''kwa kufanya hivyo atakuwa amesaidia kuwapunguzia vijana muda wa kufanya maandamano kwa kuwa wanakuwa wapo wapo tu mitaani,tofauti na wenzao ambao ''hufanya maandamano ya kula kitabu''
 
Back
Top Bottom