Bakhresa na Posta: Msaidie Mzee Small wajameni!

Bakhresa na Posta: Msaidie Mzee Small wajameni!

Kama yeye alikuwa anaponda raha bila kuwekeza alitegemea nini..?
 
Mbona unalalama sana mkuu? Nikiangalia idadi ya post zako inaonesha unashinda JF, bahati mbaya kabisa huyo mzee sijawahi kumwona JF, mitaa ya TV ndiko anakoshinda, ukiwauliza wakina mama na watoto lazima wanamfahamu, mwoneshe picha mwanao umuulize huyu ni nani?

Akili ndogo hujadili watu mimi naongelea mada wewe ushaifanya personal mpaka kwa watoto wangu; sasa kama humjui kiranga cha kumuongelea unakitoa wapi wakati huna data kasaidiwa ama laa ama kuna mipango iko mbioni. Hata kama nashinda jf si kwa ajili ya kusoma pumba lete kitu kamili sio mambo ya vijiweni kazi kujadili personalities
 
sasa mkuu hayo mashirika yamsaidie vipi wakati alishafanya kazi na kulipwa kwa mujibu wa sheria??.....ishu sio kumsaidia bali liwe fundisho hata kwa wasanii wengine hapa bongo wasijiwekee hazina ya umaarufu tu bali hata katika mambo mengine

Hata mimi ndo nawashangaa, kwani alikuwa anatangaza bure kheee!?
 
pesa zake alipeleka wap? awa wasanii wetu wanapenda sana starehe kuna watu wengi wenye shida kuliko uyo.
vijana tujifunze kusave tusigeuke ombaomba uzeeni
 
Kusave kwanza mengneo Baadae huku kutapatapa kuomba hela nkujishusha hshema na kuuza utu pia
 
Afu ije siku za mbeleni tuuone Diamond nae kachoka anaomba kuchangiwa?

Huo ni ubwete (in Mac Regan voice- Origino Komedy)

Wasanii lazima wajipange, wakipata pesa ni kubadili Mademu tu.
 
Akili ndogo hujadili watu mimi naongelea mada wewe ushaifanya personal mpaka kwa watoto wangu; sasa kama humjui kiranga cha kumuongelea unakitoa wapi wakati huna data kasaidiwa ama laa ama kuna mipango iko mbioni. Hata kama nashinda jf si kwa ajili ya kusoma pumba lete kitu kamili sio mambo ya vijiweni kazi kujadili personalities
Yes yes yes ...!
 
Ningependa si tu kuchangia matibabu yake bali pia kufika kwake kumsalimia. Anayejua namba yake na mahali anapoishi anifahamishe tafadhali hata kama ni kwa PM.

Natanguliza shukrani.

Tiba
 
Kama kuna kijana hamjui mzee small humu labda kazaliwa juzi.
Hawa ndio wakongwe wa maigizo Tanzania.
Wasanii wasaidieni hawa wazee ambao ndio waliowapa vijiti.Kipindi chao sanaa ilikuwa inalipa USA na India tu hata Nigeria walikuwa hawajulikani.
 
Ningependa si tu kuchangia matibabu yake bali pia kufika kwake kumsalimia. Anayejua namba yake na mahali anapoishi anifahamishe tafadhali hata kama ni kwa PM.

Natanguliza shukrani.

Tiba

0714 344 039 piga hiyo mkuu
 
unadhani zile taarifa za kuwa tz ni moja ya nchi hatari kwa mustakabari wa wazee walibuni au walikurupuka,akifa utasikia pole,rambirambi,itatoka,vitambi na suti nyeusi watakuwa wanajipitisha mbele ili magazeti ya shigongo yawatoe,hata mimi mmoja nina mchango,so wadau tutoe msaada.
 
Hata mimi ndo nawashangaa, kwani alikuwa anatangaza bure kheee!?

kama ikitoke mung akamchukua, utaona bakhesa wanamwaga mihela... Kwanin msaada ni mhimu ata kama alilipwa, amelipwa moja coy imeingiza mabilion kwaajili yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom