Bakhresa, ex wife settle dispute

Inawezekana kweli jamaa kawachanganya.....Huyo Mohammed Said Bakhresa ni mtoto wa Said Salim Bakhresa ambaye ndiye chairman wa Bakhresa Group of companies.....Angalieni hapa chini...

:: Bakhresa Group ::
You are right Balantanda, Mohammed ndio ame settle dispute na ex-wife wake ila watu wakisema Bakhresa mara nyingi watu huwa wanamfikiria Said Salim
 
Code:
Wacha tu achukue after all  hio kwa Bakheresa its just a nip in the bud....

tatizo utakuta mama wa watu kaachiwa nyenyere za kumwasha asifaidi matunda ya jasho lake...........
 
hommie, to be honest, i am not seeing any sign of their marriage nor living as husband and wife zaidi ya properties na dreams kibao tu kwa alinacha kama mimi

shoot!! in this case yani najiuliza how best elimu yangu imenipa heshima gani... japo a $500M property sina na kauzee ndio hakoooo kananilia timing:caked:
 
Only 4 years..it means, she a gold digger.
 
Code:
Wacha tu achukue after all  hio kwa Bakheresa its just a nip in the bud....

tatizo utakuta mama wa watu kaachiwa nyenyere za kumwasha asifaidi matunda ya jasho lake...........
Hhahaha Ruta eti nyenyere, man you never know
 
Mkuu mimi nilikuwa naangalia hizo figures za hiyo divorce ndio kama unavyosema unabakia na dreams kibao
 
How wealthy is this Bakhresa guy? From what I hear he is supposed to be rich beyond belief. So whatever his ex-wifey got in the settlement could indeed be chump change for him. But damn, it must be nice to be ex missus Bakhresa.
Akitangaza utajiri wake yule bilionea Aliko Dangote ni cha mtoto!!!!
 
mngekua mnazijua tabia za huyo baba mngemsikitikia huyo mdada na mahela yote aliyopata,miaka minne mingi sana
hahahaaaaaaa.... vipi anakula nyama za watu, au anatoa roho??

hata maskini tupo na hatuna hata maana aisee
 
Na mimi naona kama huyo dada aliolewa ili ahachike. Alishapanga kila kitu. Knowing she will be rich after divorce. Matajiri muwe makini, bora angekuwa kimada yote hayo yasingemtokea kuliko kumchukua jumla wakati anajua fika ubilionea wake ni dili.

Of course knowing that the guy has all that money and he's a billionaire what do you expect huyo mwanamke asingeweza kumuacha hivi hivi baada ya kuachana
 
Ndugu wanjamvi!!, Hebu tukaeni chini, na tujiulize, huyu bwana katoa wapi hizi hela zote!, Hili si Jasho la Watanzania walala Hoi!!!!!!!!!!!!!!!, ndo maana waambiwa cha Mlevi huliwa na.........(Utajaza)
 
Mkuu i wouldn't know ni kitendawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…