Bakhresa anakwepa kodi?

Baada ya kuandika kathread kahivi najua sasa ushaagiza juice ya azam kwa raha zako,
 
Jibu,
Yanayolipa kodi ni Makampuni yake, sio yeye Bakhresa personally.

(Refer LEGAL BUSINESS ENTITY theory in FINANCE or ECONOMICS)
sasa mtoa mada kamaliza la saba hayo mambo atayajua kweli mkuu?
 

Dogo, achana na habari za kusikia,Bakhressa kaanza biashara tangu enzi za Mwalimu Mimi nakumbuka alikuwa na Hoteli yake pale kariakoo Gerezani ilikuwa inaitwa Nawaz kama nitakua sijakosea jina,walikua wanajiita mabingwa wa kupika pilau na biriani na miongoni mwa watu waliokuwa wakifanya kazi ni wachezaji wa Simba Sports Club, Idd Pazi mmoja wapo ambapo alikua kama meneja,enzi hizo tulikua tukienda kupiga misosi kila ijumaa tukitoka shule na sisi tukahadithie watoto wenzetu kwani ilikua ni ujanja kuonekana umekula pale au ukienda kununua ice cream ya Cone pale Livingstone,So kusema Bakhressa kapewa mtaji na Mwinyi itakua kama uongo vile kwani hii habari ninayokuambia ni miaka ya mwanzoni ya 1980,Ulikuwa wapi enzi hizo? natumaini ilikuwa bado kabisa.
 
zile pesa za escrow zirudi serikalini .kwani huwezi kuchukua mabililioni bure Na kodi zisilipwe taifa hujalitendea haki
 
Weka ushaidi wa hayo maneno yako badala ya kupambana na makampuni ya madini hayalipi kodi wewe unapambana na Bakhresa bila data zozote zaidi ya chuki zako tu.

Mitanzania bana.

Tunanyooshana humu ndan kwanza, wa madini watasanda tukishanyooshana,
Mitanzania bhana
 

Hiyo ni principle ya wapi, kukata capital inamaana hata wewe kodi yako ihesabiwe kuanzia ada ulizolipa toka nursery na matumizi mengine yaliyokuwezesha kufikia hapo!
Acha watu wakatwe faida tu hiyo ndio principle ya kodi, lengo sio kukomoana Bali kuchangia ktk maendeleo ya umma!
 

Umetumwa na Nani jomba, mwambie kodi inahitajika hamna msalie mtume
 

Lipa Kodi kwa Maendeleo ya Taifa Lako, acha blaahblaah!
 

Mkuu hicho kitu hakitakuja kutokea hata siku moja,,,hizo ni faida za kufanya biashara na hasara za kuajiriwa haitokuja tokea mtu akatozwa kodi kwenye mtaji...
 

Kabla hujaanza na Bakhresa, jiulize kwa nini Mohammed Dewji ndio tajiri wa 20 Africa, na ndiye wa kwanza Tanzania, lakini hayupo kwenye list ya walipa kodi kubwa kama walivyo TBL
 
Jibu,
Yanayolipa kodi ni Makampuni yake, sio yeye Bakhresa personally.

(Refer LEGAL BUSINESS ENTITY theory in FINANCE or ECONOMICS)
Chonde chonde udini utatusumbua Jana. Alikuwa mkurugenzi muhimbili Leo kamishina wa kodi kesho Bakhsresa tutafika?
 
Umetumwa na Nani jomba, mwambie kodi inahitajika hamna msalie mtume

Ukweli ndo huo...ukikandamiza watu watapunguza uzalishaji na ajira..watu watafanya ku survive tu...sasa hio kodi sijui itatoka wapi.
 
Kati ya Yale makontena yaliokamatwa 133 ni ya bakharesa mpaka sasa sijua kwann ajatajwa wajati kuna kias cha hela keshaambiwa kulipa..
 
Lipa Kodi kwa Maendeleo ya Taifa Lako, acha blaahblaah!

Kodi kwani kuna mti unaota hizo kodi?
Kodi nazo zinatiwa mbolea kupatikana . Kama utakamua tu kwa jazba hazioti kama majani.....
 
Ukweli ndo huo...ukikandamiza watu watapunguza uzalishaji na ajira..watu watafanya ku survive tu...sasa hio kodi sijui itatoka wapi.

Kodi ni amri, siyo ombi,
ndo mjue capitalism,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…