Bakhresa anakwepa kodi?

Bakhresa anakwepa kodi?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,202
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.

Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa. Achunguzwe kwanini hayuko Kwenye kundi la walipa kodi wakubwa.
 
Bakhresa inasemekana anajikadiria mwenyewe kulipa kodi
 
Weka ushahidi wa ukwepaji kodi isije ikawa ni lako jambo! Mtu kuwa na biashara nyingi si kiashirizi za kukwepa kodi..
 
Nafurahi sasa misamiati ya "kukwepa kodi"inaanza kuwaingia watu hapa nchini kwetu na kuona kwamba ni kosa.
 
Mimi siamini kama hawa watu huwa wanalipa kodi Bakhresa, Rostam, Dewji, mkono, mengi, mafuruki, Karamagi na wengine wa aina hii. Magufuli kawapa meno TRA sasa, kasema msamaha wa kodi utatolewa kwa kibali maalumu kutoka ikulu.
 
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa
mkuu naungana na wewe kwa 90%! Ila ujue hakuna mfanyabiashara tz anayelipa kodi kwa 100%. wanaolipa kodi inavyostahili ni wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya ofisi binafsi tu.
 
Jamani mlipa kodi ni entities ... Bakhresa Ana makampuni mengi ambayo moja moja ni Ngumu Kuwa mlipa kodi kwa Kuwa ni madogo mengine.
 
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa
Huyu ni mmoja wa waliowekeza kwenye mabadiliko ya kuzungusha mikono. Nini walikusudia kufanya baada ya mabadiliko hayo, wanajua wenyewe.
 
Hao wanaojiita wafadhili wa CCM ili wakwepe kodi, Magufuli ndio anawataka.
 
Kwenye Kodi, Magufuli amalize nguvu zake pale (TRA). Atafikia malengo,ikiwa ni pamoja na kufukuza kazi waizi, wazembe na wavivu.
 
Swali la msingi sana.
...kwanini Bakhresa hayupo kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa?
 
Magufuli akiweza kusimamia hawa wafanyabiashara kulipa kodi hakika Ahadi zote atazitekeleza ndani ya hui Miaka mi5, wafanyabiashara hawalipi kodi stahiki, wanalipa chache sana,serikali inabana kodi wafanyakazi walipe P.A.Y.E na ndio inapopata fedha nyingi, PAYE anayokatwa mwalimu kwa mwaka inamzidi kabisa kodi anayolipa mfanyabiashara mkinga mwenye mtaji wa mil 100 k/koo.
 
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa

Serikali ni waonevu,kwa mwaka nakatwa kodi ya PAYE karibia mil 6,Hivi pale k/koo kitumbini mliman city mall Kuna mfanyabiashara anayelipa kodi zaidi yangu? Ningependekeza Magufuli aweke utaratibu wa kulipa kodi kutokana na mtaji na si Faida,Kama mfanyabiashara naingiza mzigo wa mil100 alimwe kodi kulingana na capital aliyeiinvest Kama sie wafanyakazi tunakatwa kodi kwenye gross na si kwenye net baada ya kutoa kila matumizi,mfano kodi ya nyumba ,hela ya afya ,mafuta ya Gari,bodi ya mikopo ,deni la bank etc.
 
mkuu naungana na wewe kwa 90%! Ila ujue hakuna mfanyabiashara tz anayelipa kodi kwa 100%. wanaolipa kodi inavyostahili ni wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya ofisi binafsi tu.
Siwalaumu, huwezi kuwa na moyo wa kulipa kodi wakati wakubwa wenyewe hawalipi kodi na huna namna yoyote ya kuweza kudhibiti matumizi ya kodi hiyo. Hata hao wafanyakazi wanalipa kwa kuwa hawana namna ya kukwepa.

To say the least, kwa mfumo uliopo bunge ambalo kwa niaba ya wananchi lilipaswa kudhibiti matumizi ya kodi zetu halina faida kabisa kwa mwananchi na ni mzigo tunaotakiwa siku moja tuungane kuutua. Tunaweza tukiweka nguvu kidogo zaidi ya hii iliyowekwa kwenye kuuaga mwili wa mawazo, na tukiwaweka pembeni hawa makamanda tumbo.
 
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa

suala ni kuwa una wasiwasi nae (hivyo achunguzwe) na si kuwa una uhakika
 
Ukiachilia mbali wafanyakazi,na hasa watumishi wa Umma,siamini kama kuna wafanyabiashara wanaolipa kodi kwa 100% na hasa wale wafanyabiashara wakubwa ndo wakwepa kodi no.1
 
Back
Top Bottom