Ni kampuni ya SSB imechangia wizara ya uchukuzi USD800,000 ili mabehewa ya treni yatengenezwe.
Anastahili pongezi.
Source: TBC jana.
Muwe mnasoma bajeti vizuri na kuelewa Bakhera hajachangia hata kumi.. waziri kaeleza hivi NANUKUU
Napenda kuchukua fursa hii kuipongeza kwa dhati kampuni ya kitanzania ya S.S Bakhresa kwa kuitikia mpango huo na kutoa dola laki 8 ambazo zimetumika kukarabati vichwa 2 vya train aina ya 73xx. vichwa hivo vinatumika pamoja na kazi nyingine kusafirishia ngano kutoka DSM mpaka mwanza kwa ajili ya soko la S S Bakhresa la Uganda. vile vile kampuni ya TICTS ltd imeonesha nia ya kutoa kiasi hicho hicho cha fedh kukarabati vichwa 2 vya injine aina ya 64xx na mabehewa 20 kwa ajili ya kusafirishia makasha kutoka bandari ya dsm kwenda kituo cha makasha cha Ubungo
akikuambia utumbo wake mwambie hivi '''''kumjibu mjinga yahitaji busara sana ujinga ni nusu ya mauti'''''loh! Sijui kafanywa nini asubuhi yote hii. Yaani kafunguka as if tuna mjadala wa hayo mambo yake. Tayari keshamporomoshea mitusi mango pickle halafu anajinadi eti ana dini.
Ana lake huyu wallah
Anatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
Mkuu kumbe Allah anatetewa kwa mitusi?
CCM oyeee!