Partner mzima wewe, wajionaje na khali,sijui nimuitie partner wangu M'Jr amsaidie,
leo hii dadangu wa kuitwa mkuu!
sikubali!
ahahahhaha lakini ulianza kumwita cutie kwanza enh?
il sasa si unajua tonge la mwisho ndo linakomba mboga!
LAKINI saaaaasa?sasa!
mbona leo huweki tule tuwimbo!
NAULIZA TU!
Partner mzima wewe, wajionaje na khali,
Ama baada ya hilo, nimekumiss ewe kigoli,
Nakutafuta hapa na pale, kote naona kufuli,
macho yamenitoka, kama nimepoteza nauli,
Nafurahi nimekuona, siku hii ya kwanza ya wiki,
Jua lawaka kwa ukali, upepo nao haushikiki,
Siku nazo zenda mbio, kila kona mikikimikiki,
Nafurahi nimekuona, kwenye kiwanja chetu hiki,
solola bien bana!snowhite dada yako siku zote ni Cutie with capital C 🙂🙂 wewe mwenyewe unajua na hilo Mkuu ni heshima kubwa niliyokuwa nayo kwake 🙂 🙂 na weye huachi kuuliza maswali magumu banaaa!? LoL!! 🙂🙂
Wee Nyani Ngabu kumbe BAK ni Bubu?
Usijali mimi nipo, hata kama si kimwili basi kiroho nipo,khali yangu dhofhali,sinayo jambo kwa kweli,
sijui u wapi mahali,sinaye wa kuuliza mie mwali,
umerudi nashukuru,hunachi nikaita mbali,
hujui mekumissije na wa kumwambia simuoni.
Ndiyo Mkuu BAK ni Bubu msome kwenye hiyo link hapo chini.
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/40266-je-jina-lako-unalotumia-jf-lina-maana-yoyote-4.html
Usijali mimi nipo, hata kama si kimwili basi kiroho nipo,
Nashukuru japo wapumua, inanifariji huku mbali nilipo,
Popote pale unimisipo, jua nipo hapo we ulipo
Hahahaha si kuna mtu kasema leo amekuwa "BUBU"hata bak ni mtaalamuna sana na haya makitu basi tu leo amepata kigugumizi!
ahahhahah sasa we jumlisha mwenyewe bubu na kigugumizi!Hahahaha si kuna mtu kasema leo amekuwa "BUBU"
Kuna ki video kimoja kuna mtu aliniwhatsapp huwa kinanichekesha sanaahahhahah sasa we jumlisha mwenyewe bubu na kigugumizi!
si ujue bak leo kakamatwa!
Ngoja kwanza.......hapa ni war zone ama?
unataka kusema BAK karibu anataka kupiga nduru!:help:Kuna ki video kimoja kuna mtu aliniwhatsapp huwa kinanichekesha sana
Jamaa aliona binti anapita, akampigia ile Xiiiiiiiiiiiii!
Binti akaja akamuuliza unaniita mimi? huku kamsimamia mbele hivi, Haya sema ulichoniitia sio mnaona watu wanapita tu njiani mnawapigia xiiii. Jamaa akanywea akataka kukimbia, binti akamwambia rudi hapa................ sasa ndio hii ya BAK hapa