Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

leo hii dadangu wa kuitwa mkuu!
sikubali!
ahahahhaha lakini ulianza kumwita cutie kwanza enh?
il sasa si unajua tonge la mwisho ndo linakomba mboga!


LAKINI saaaaasa?sasa!
mbona leo huweki tule tuwimbo!
NAULIZA TU!
 
Hehe watu wanatiririkaaaa!
BAK na mie nina shauku ya kukushukuru ila ntakuanzishia sredi utakapo save my life.

Mwezi mtukufu umetukuka kwako aisee lol
we chelewa chelewa hivo hivo!
ngoja wendhio watheme weeee usije kunililia mimi!

kwani kule kwenye nanii za umeme hatuwezi kumpeleka huyu ili tumpiku mleta sredi!we unajua mi ndo shosti yako wa kufa na kuzikana na siwezi acha uumie bana!
kama hongo za Boflo tunashare itakuwa mbinu za kutiririsha kwa bak?
 
Last edited by a moderator:
usiniezie kesi handsome....
huyu snowhite huwa simwezi toto tundu, lol!
 
Last edited by a moderator:
leo hii dadangu wa kuitwa mkuu!
sikubali!
ahahahhaha lakini ulianza kumwita cutie kwanza enh?
il sasa si unajua tonge la mwisho ndo linakomba mboga!


LAKINI saaaaasa?sasa!
mbona leo huweki tule tuwimbo!
NAULIZA TU!
ha haaa, umeona anavyojichanganya?
hata hajui aanzie wapi ati
 
Reactions: BAK
ha haaa, hata mimi nitamsaidia mistari shostito King'asti, aanzishe tu lisreadi wapambe tupoooooo, hadi kieleweke
 
Sweets for my sweet, Sugar for my honey

 
Last edited by a moderator:
Leo swaumu imenikalia vibaya na hadi sasa sijapata mwaliko wa futari. Ila ngoja nivute pumzi nitawahi tu. Hamna awali mbovu shosti hehehe. Nimekumisije yale mashopping yetu. Hivi huyu BAK ni kakako ama shemegi? Hatuwezi kumchuna iddi manake mafungo yote mawazo yapo kwenye kiwaloooo
 
Last edited by a moderator:
kumbuka mimi ndo dada mkubwa originale.....
wengine feki....
halafu kuna kitu nataka kukuuliza, muhimu sana sana
umenionea Kaunga siku ya leo? mwambie namtafuta saana

Nipo mdogo wangu, ingawa robo robo maana vibosile wametuvamia si pole pole yaani.
 
nakuona mkuu sio kapela mwenzetu tena ,ndo ushatoka hvyo
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…