Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Kesho kambi rasmi ya upinzani bungeni watawasilisha ripoti yao ya bajeti ya mwaka ujao wa fedha. Mara nyingi ripoti ya bajeti ya kambi rasmi ya upinzani inagusa maisha halisi ya mtanzania na inajaribu kuwafumbua macho wananchi kwa kuweka wazi baadhi ya mambo ambayo yapo kwenye bajeti ya serikali yasiyo na impact kwa wananchi.
Sasa ili kupoteza watanzania maboya, kesho Rais anapokea ripoti ya mchanga ambapo watanzania na vyombo vya habari vingi vitahamisha macho na masikio huko na kuacha kusikiliza bajeti ya kambi rasmi ya upinzani ambapo pia naamini na ishu ya IPTL itapata airtime(imeshaanza leo).
Naamini ripoti ya mchanga ni muhimu lakini is it a coincidence ikabidhiwe siku ambayo upinzani wanasoma bajeti yao bungeni?
Hapo nahisi kuna jambo limejificha nyuma ya pazia. Wenye akili najua wamenielewa.