Bajeti ya Upinzani vs Ripoti ya mchanga,IPTL

Na ndo ujiulize kwanini inasomwa bungeni ikiwa haina maana
Ni Kukamilisha Utaratibu Kama CHADEMA ingekua na Viti vingi zaidi ya CCM bungeni Budget ya Upinzani ndo huwa INA maana kwa Sababu hata waziri Mkuu anatoka Upinzani. Lakini CCM iliyojaa Na Wabunge wake Kusomwa kwa Budget ya Upinzani Ni kama kukamilisha Utaratibu tuu!
 
kwani report inazuia vipi bajeti ya upinzani kusikika?? nadhani kila kimoja kitapewa uzito sawia kutegemea na uzito wake na tija yake
 
Ni Kukamilisha Utaratibu Kama CHADEMA ingekua na Viti vingi zaidi ya CCM bungeni Budget ya Upinzani ndo huwa INA maana kwa Sababu hata waziri Mkuu anatoka Upinzani. Lakini CCM iliyojaa Na Wabunge wake Kusomwa kwa Budget ya Upinzani Ni kama kukamilisha Utaratibu tuu!
Naona hujajibu swali lililoulizwa
 
Ni Kukamilisha Utaratibu Kama CHADEMA ingekua na Viti vingi zaidi ya CCM bungeni Budget ya Upinzani ndo huwa INA maana kwa Sababu hata waziri Mkuu anatoka Upinzani. Lakini CCM iliyojaa Na Wabunge wake Kusomwa kwa Budget ya Upinzani Ni kama kukamilisha Utaratibu tuu!
Kwa Serikali isiyo na uelewa ni kukamilisha utaratibu ila kwa yenye uelewa ni moja kati ya changamoto ktk kurekebisha mapungufu ya bajeti iliyoandaliwa na Serikali
 
Sasa Budget ya Upinzani Inasaidia nini? Hizo ni formalities mlishawahi kuona Budget ya Upinzani inafatiliwa na Wananchi kama budget ya Serikali Juzi watu wanasikiliza Na Kuangalia TV kila Sehemu.
Wapinzani akili zao wanazijua wenyewe,,watu tuache mambo ya msingi tufatilie bajeti ya upinzani inasaidia nini?
 
Kesho kambi rasmi ya upinzani bungeni watawasilisha ripoti yao ya bajeti ya mwaka ujao wa fedha. Mara nyingi ripoti ya bajeti ya kambi rasmi ya upinzani inagusa maisha halisi ya mtanzania na inajaribu kuwafumbua macho wananchi kwa kuweka wazi baadhi ya mambo ambayo yapo kwenye bajeti ya serikali yasiyo na impact kwa wananchi.
Sasa ili kupoteza watanzania maboya,kesho Rais anapokea ripoti ya mchanga ambapo watanzania na vyombo vya habari vingi vitahamisha macho na masikio huko na kuacha kusikiliza bajeti ya kambi rasmi ya upinzani ambapo pia naamini na ishu ya IPTL itapata airtime(imeshaanza leo).
Naamini ripoti ya mchanga ni muhimu lakini is it a coincidence ikabidhiwe siku ambayo upinzani wanasoma bajeti yao bungeni?
Hapo nahisi kuna jambo limejificha nyuma ya pazia. Wenye akili najua wamenielewa.
sasa hapo kosa ni la nani? kila mtu ana uhuru wa kusikiliza anapoona pana uzito zaidi, inawezekana hata upinzani wasisikilize ripoti ya bajeti wakatega sikio kusikiliza ripoti ya mchanga
kuna vitu vingine ni involuntary mkuu
 
Kwa Serikali isiyo na uelewa ni kukamilisha utaratibu ila kwa yenye uelewa ni moja kati ya changamoto ktk kurekebisha mapungufu ya bajeti iliyoandaliwa na Serikali
Tatizo ni namna ya kuwasilisha usomaji mapofu yanawatoka mno hasa akisoma lisu naishiwa hamu ya kuisikiliza hotuba.
 
Wapinzani akili zao wanazijua wenyewe,,watu tuache mambo ya msingi tufatilie bajeti ya upinzani inasaidia nini?
Daaah hawa jamaa Akili ndogo ninavyoona wanategemea the like kama akina God listen Malisa akina Yericko Nyerere kung'amua mambo Sasa watu wana Wabunge wachache Budget ya Upinzani inasaidia nini Kama wangekua na Wabunge Wengi Kesho Ingekua hatari watu lazima wangefuatilia.
 
Kesho kambi rasmi ya upinzani bungeni watawasilisha ripoti yao ya bajeti ya mwaka ujao wa fedha. Mara nyingi ripoti ya bajeti ya kambi rasmi ya upinzani inagusa maisha halisi ya mtanzania na inajaribu kuwafumbua macho wananchi kwa kuweka wazi baadhi ya mambo ambayo yapo kwenye bajeti ya serikali yasiyo na impact kwa wananchi.
Sasa ili kupoteza watanzania maboya,kesho Rais anapokea ripoti ya mchanga ambapo watanzania na vyombo vya habari vingi vitahamisha macho na masikio huko na kuacha kusikiliza bajeti ya kambi rasmi ya upinzani ambapo pia naamini na ishu ya IPTL itapata airtime(imeshaanza leo).
Naamini ripoti ya mchanga ni muhimu lakini is it a coincidence ikabidhiwe siku ambayo upinzani wanasoma bajeti yao bungeni?
Hapo nahisi kuna jambo limejificha nyuma ya pazia. Wenye akili najua wamenielewa.
Bajeti ya upinzani?! Halafu kwani bunge hurushwa mubashara baada ya kipindi cha maswali? Wabunge wenyewe wataomba kuahirisha kikao ili wafatilie uwasilishaji wa ripoti chezea kivumbi cha makanikia wewe!
 
Mpka bibi yetu kule kijijini atalipia motor vehicle.....duuu.kweli vitendo vinatuumiza sana kwa kweli
Umekariri vitu vigumu kichwani mwako, lini bibi alipanda gari yeye mazao yAmetolewa ushuru ndicho kinachomhusu
 
Tunasubiri ripoti tujue tulipopigwa pakubwa kiasi gani.

Hilo bajeti lenu tutasoma keshokutwa kwenye gazeti. Kupotezeana muda tu na bajeti za kufikirika.
 
Hahahahaa uwiii utawaua nyumbu,,kinachonikera ni namna ya usomaji mapofu yanawatoka utafikiri ugomvi, hasa asome lisu hamu ya kusikiliza inaisha kabisa
 
Tatizo ni namna ya kuwasilisha usomaji mapofu yanawatoka mno hasa akisoma lisu naishiwa hamu ya kuisikiliza hotuba.
Na ndio tatizo linapoanzia maana kile anacho kiwasilisha ni muhimu kuliko anaye kiwasilisha ila kwasababu mmeshajenga chuki na ndo matokeo ya hayo yote.
 
Umekariri vitu vigumu kichwani mwako, lini bibi alipanda gari yeye mazao yAmetolewa ushuru ndicho kinachomhusu

Mkuu wangu haya mambo ni magumu sana kwako kuelewa....kama gharama za motor vehicle zimeamishiwa kwenye Mafuta....mpaka Mafuta ya taa unawezaje kusema bibi yetu kule kijijini halipii motor vehicle ya gari yangu ninayotumia hapa mjini.
 
Hizo zinaitwa indirect cost..Hawawezi kukuelewa hao
 
Back
Top Bottom