Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji

Ngoja tuendelee kuona press releases na counter press releases kila siku. I am sure NMB/CRDB/ VODACOM/BOT etc watatoka na ya kwao muda si mrefu kucounter ile ya TRA. Mambo valuvalu.

Kama nchi ilikuwa kwenye auto-pilot mode enzi za Mkwere, sasa hivi kwenye zama hizi za PHD ipo kwenye "trial version" mode.
 
Sasahivi tajiri ananiomba ushauri kweli tano kiboko lkn enzi za myonge mnyongeni lkn hakiake mpeni ahaaa!ukipunga mkono tu anawasha taa sjui alikuwa anaona giza sijui
 
Jengeni ofisi basi .hiyo bar mliyopanga kwa miaka 20 haiendani na tambo zenu
Hata bungeni kwenu ilikuwa hivihivi, Budget ndio iko mezani kujadiliwa mnaacha mnazungumzia Chadema na sanamu ya Diamond.
Dr Mpango akawa anacheka tuu kuwa kumbe kuwa Waziri wa fedha ni kazi rahisi hivi!
 
Hata bungeni kwenu ilikuwa hivihivi, Budget ndio iko mezani kujadiliwa mnaacha mnazungumzia Chadema na sanamu ya Diamond.
Dr Mpango akawa anacheka tuu kuwa kumbe kuwa Waziri wa fedha ni kazi rahisi hivi!
Povu la nini ?? Leteni bajeti ya kujenga ofisi hapa.

Haiwezekani chama kina ruzuku kubwa alafu ofisi zipo makaburini kwa miaka 20!!!
 
Shida hapa ni mwingiliano wa kikazi,hapa kuna tatizo,haiwezekani jambo kama hilo kila mtu anasema kivyake
 
Mimi hili LA watendaji wakubwa kupingana kauli hadharani limenichosha sn,sio kawaida,hata km 7bu zinajulikana kwamba serikali ina ombwe LA uongozi,lkn kunaeza kukawa na sababu zingine hazijulikani sana.
yetu macho, huu ni ulimwengu mwingine, serikali imehamia mtandaoni kuangalia nani ana andika nini, na baada ya hapo ni safari ya Central kisha Kisutu na safari kuishia Segerea
 
Ufipa mshindwe na mlegee.

Kama kujenga ofisi nzuri ya chadema imewashinda hakika ya Magufuli hamtayaweza.
Wenzako wanadiscus suala linalotugusa wa tz kwa ujumla kuhusu kukinzana kwa kauli ya baadhi ya taasisi mbali mbali kuhusu tozo iliyoanzishwa,,we unaanza kuleta masuala ya kichama hapa,,hizo ni akili uchwara,,,,,
 
Back
Top Bottom