Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji

Naona tayari utekelezaji wa bajeti umekwama.
Tra,benki kuu,makampuni ya simu,mabenki ni malumbano tu.
Tanzania ya viwanda imeota mbawa
Malumbano ya kodi ni kitu cha kawaida hata nchi zilizoendelea Malumbano yapo.
 
Achana na mimi. Kama huna la maana la kuandika pita kimya kimya. Usifuatilie mambo yasiyokuhusu.

Wewe unataka ukamatwe na vijana wa kazi! Shauri yako usije nitafute eti nikuchangie hela ya faini!
 
Hii VAT hii taasisi za fedha na seriktali wala hawaumii ila wewe unayeimba ule wimbo we mbele kwa mbele na yule wa peoples haswaaa ndyo wahusika.The incidence and impact of tax fall to whom?who paid that tax? ukijua hyo endelea kuimba.
 
Walioko jikoni tafadhali mwambieni mkuu kuwa, sii kila anayekosoa ana nia mbaya. Wengine wanakosoa kwa nia njema kabisa.Kikubwa ni kuweka mfumo wa kupepeta pumba na mchele. Waruhusiwe watu kukosoa jamani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Walioko jikoni tafadhali mwambieni mkuu kuwa, sii kila anayekosoa ana nia mbaya. Wengine wanakosoa kwa nia njema kabisa.Kikubwa ni kuweka mfumo wa kupepeta pumba na mchele. Waruhusiwe watu kukosoa jamani.
Kesho ripoti polisi,kwa nini unakosoa?
 
Ndiyo tatizo kubwa nchini mwetu. Mtu hujiona kama Mungu mtu hahitaji kukosolewa na kila anayemkosoa anamuona ni adui mkubwa sana. Kumbe wanaokosoa wanafanya hivyo kwa nia njema kabisa ya kulisaidia Taifa letu.

Walioko jikoni tafadhali mwambieni mkuu kuwa, sii kila anayekosoa ana nia mbaya. Wengine wanakosoa kwa nia njema kabisa.Kikubwa ni kuweka mfumo wa kupepeta pumba na mchele. Waruhusiwe watu kukosoa jamani.
 
Walioko jikoni tafadhali mwambieni mkuu kuwa, sii kila anayekosoa ana nia mbaya. Wengine wanakosoa kwa nia njema kabisa.Kikubwa ni kuweka mfumo wa kupepeta pumba na mchele. Waruhusiwe watu kukosoa jamani.
Nendeni mkamkosoe Mbowe ili awajengee ofisi ya maana
 
Miaka ya nyumba misaada ndio ilikuwa risk kutia katika budget lakini mwaka huu hata zetu ni mashaka. Lakini Tz ni kawaida miaka yote ni budget hazitekelezeki. Hivi huwa wanakaa kila robo mwaka na kureview kama wame meet targets na variance ili waweze kuwa na forecast au ndio number tu kila mwaka. Ningependa hata kabla ya budget kusema mwaka jana tulitaka 29 lakini tulipata 20 sababu moja mbili na tufanye nini, hope wanafanya maana ni vitu vya kawaida.
 
Naona tayari utekelezaji wa bajeti umekwama.
Tra,benki kuu,makampuni ya simu,mabenki ni malumbano tu.
Tanzania ya viwanda imeota mbawa
Wewe ndio walijua leo? Mwenzio toka saa 00:00 hrs siku ya tarehe 01/07/16 nilishalijua hilo.
Sasa acha movie iendelee...
 
Back
Top Bottom