Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

glory to yhwh

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
1,019
Reaction score
1,411
Ukiwa unalipwa 400k na huna familia, yan home alone
Mchanganuo pendekezi huu hapa
Utanishukuru baadae

100,000 Akiba (weka utt)
40,000 Sadaka
80,000 Kodi ya nyumba
80,000 chakula
50,000 usafiri
50,000 mahitaji mengine

Sadaka,
unamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa wahitaji au popote unapoamini

Kodi
Haipaswi kuzidi 20% ya kipato chako

Chakula
Haipaswi kuzidi 20%
Hemea kwa jumla
Weka stock ya vyakula kama dagaa, hulali njaa

Usafiri
Panga karibu na eneo la kazi
Au sehemu ya gari moja

Akiba weka utt
Ukifikisha hata 600,000, weka mpunga stock, ni gunia kumi hizi

Lazima uwe bahili hasa, nidhamu sana

Ongezea kama kuna kitu nimeacha
Au tupe uzoefu zaidi tujifunze
 
Hivi kumbe UTT unaweza kuweka mpak 100k mi nilijua kuanzia 1m
 
Kodi 20% hahaha
Hauko serious Mkuu 🤣🤣
Kodi Dar Ni ghrama sana
 
Mkuu, kuliko kutoa hiyo 40000 yote kwenye sadaka,mie nashauri ni bora kugawa viatu na nguo zako zilizokubana kwa wahitaji. Hii itareplace nafasi ya 40k(ubahili mwanzo mwisho kudadeki)

Hiyo itasaidia mwenyezi Mungu kubariki nipate pesa nyingi ili ninunue nguo mpya na za zamani nipeleke kwa wahitaji. Inakua kama cycling.

Nipate mshahara 400,000, halafu nitoe 40k kumpa mwanaume mwenzangu kwa kisingizio cha sadaka????
 
Kodi 20% hahaha
Hauko serious Mkuu
Kodi dar Ni ghrama sana
Amekwambia 20% ya kipato chako. Mbona ni kawaida. Ukiwa unaingiza 400k kodi ni 80k chumba single kizuri tu. Ukiingiza 700k, kodi 140k hapo unapata chumba masta na sebule baadhi ya maeneo alafu hapo upo bila familia. Ukisema 20% ni ndogo watu watakushangaa
 
Mkuu, kuliko kutoa hiyo 40000 yote kwenye sadaka,mie nashauri ni bora kugawa viatu na nguo zako zilizokubana kwa wahitaji. Hii itareplace nafasi ya 40k(ubahili mwanzo mwisho kudadeki)

Hiyo itasaidia mwenyezi Mungu kubariki nipate pesa nyingi ili ninunue nguo mpya na za zamani nipeleke kwa wahitaji. Inakua kama cycling

Sasa hii baraka gani tena 😂😂 yani wewe uvae mpya afu used utoe sadaka
 
Back
Top Bottom