Bajeti ya chupi ni ya dume

Bajeti ya chupi ni ya dume

Id yako inaonesha unaandika ukiwa wap,pole kwa ugonjwa.
 
Mtoto mzuri demi nani kashindwa ebu toa nafac kwa maboy tunaojielewa

Wa kishua
Hamna lolote yaani mnaongea tu hapa lakini utekelezaji ni zero.
Tunapigika vibaya kupambana na hali zetu, Tunajinunulia vocha, chupi, na kila kitu. Hata pipi hamtoi.
Yaani ule usemi wa wahenga walisema "wanaume tumeumbwa mateso" haufanyi kazi tena. Mateso tunapata wote..The struggle is so real!
 
Mtt mzur km wewe hutakiw kupata shida ish na maboy km sis tulofunzwa kumlea mtoto wa kike

Wa kishua
 
Back
Top Bottom