Bajeti ya chupi ni ya dume

Bajeti ya chupi ni ya dume

Mtt mzur km wewe hutakiw kupata shida ish na maboy km sis tulofunzwa kumlea mtoto wa kike

Wa kishua
Ha ha haaa haya bana wa kishua. Ngoja niendelee kupambana na hali yangu. Hakuna namna.
 
Ha ha haaa haya bana wa kishua. Ngoja niendelee kupambana na hali yangu. Hakuna namna.
Demi kwa urembo wako utakiw kuangaishwa mtt mzur njoo tukalee marahaa upepo unapovuma

Wa kishua
 
Hamna lolote yaani mnaongea tu hapa lakini utekelezaji ni zero.
Tunapigika vibaya kupambana na hali zetu, Tunajinunulia vocha, chupi, na kila kitu. Hata pipi hamtoi.
Yaani ule usemi wa wahenga walisema "wanaume tumeumbwa mateso" haufanyi kazi tena. Mateso tunapata wote..The struggle is so real!
Hahahahah!
 
Inafurahisha sana...

Mimi mahondaw wangu siyo nguo za ndani tu, bali kil akitu chake kipo ndani ya bajeti yangu... anytime she wants anything i give without hesitation...

cc: mahondaw
 
We nunua mkuu sisi watavaa nepi...
 
Huna sifa Za kupiga demu wangu mzee Baba km unabisha nikupe namba

Wa kishua
Acha kujidanganya broo...huyo dem wako anapigwa kirahisi san...hadi tigo anapigwa .....Achana na wanawake
 
Hamna lolote yaani mnaongea tu hapa lakini utekelezaji ni zero.
Tunapigika vibaya kupambana na hali zetu, Tunajinunulia vocha, chupi, na kila kitu. Hata pipi hamtoi.
Yaani ule usemi wa wahenga walisema "wanaume tumeumbwa mateso" haufanyi kazi tena. Mateso tunapata wote..The struggle is so real!
Ila 'kuvua' chupi ambayo hukuinunua kwakweli sijui wengine wanawezaje aisee!
 
Back
Top Bottom