Bajeti wizara ya Afya: Wananchi kujua kama ziara ya Rais Muhimbili ilikuwa siasa

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
Hospitali ya taifa ya Muhimbili ilikuwa ni ziara ya kwanza kabisa ya mzee Magufuli. Alikuta kero lukuki ikiwamo ya kuharibika kwa vifaa tiba na wagonjwa kulala chini.

Sasa urais ni wake na bajeti anapanga yeye,je ameweka bajeti ya kutosha kununua vitanda vyote nchi nzima na magodoro? Je, amepanga kununua vifaa tiba vya kisasa visivyoharibika? Je majengo yatakarabatiwa? Maslahi ya wafanyakazi ?

Wananchi wanasubiri kwa hamu kuona je kweli Rais alikuwa anakerwa hali hiyo au ilikuwa politics. Je majengo yataongezwa? Kutakuwa na mazingira mazuri hospitalini? Tutege sikio
 
Hili suala litamuumbua hasa kama kuna waandishi wa habari za uchunguzi. Wangekuwepo wangekuwa tayari wanajua upungufu wa vitanda nchi nzima na serikali imepanga kununa vingapi,bahati mbaya waandishi wengi ni matutusa tu
 
Back
Top Bottom