Magamba utawajua tu kwa dalili mbili-kutoa hoja zilizo na harufu ya kidini na kuutetea upuuzi hata kama watu wote wengineo wataprove kuwa huo ni upuuzi. So jiangalie ikiwa una dalili hizo then jivue gamba lako la upuuzi mkuu.Kundi la Bilal Islamic sound nasikia pia limealikwa kuimba kaswida siku hiyo, wameshaanza kufanya mazoezi ya kunoa sauti zao huku Sandali
Mh! Ngeleja hayupo list hii!Mkuu niliposikia yule waziri anajibu zile pumba nilitaka kuvunja hata TV.............Kwa hakika baraza la mawaziri la sasa lina vilaza wengi mno......angalia hawa........
- Haji Mponda
- Omari Nundu
- Mkuchika
- Nagu
- wasira
- Lukuvi
- Kawambwa
- to infinite..............
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Acheni ushamba jamani, mbona hata nchi zilizoendeleazinatumia wakija Lady jay dee wao kuchangisha hela? sasa kinachowafanya mshangae ni nini?
Acheni ushamba jamani, mbona hata nchi zilizoendeleazinatumia wakija Lady jay dee wao kuchangisha hela? sasa kinachowafanya mshangae ni nini?
Acha ujinga ww, kodi anayolipa mwanamuziki wa marekani mpaka unamsikia katoka ni mshahara wa mawaziri wako na posho zakeMbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Hujajua tu,kama ni timu basi hapo wametajwa wachezaji tu,ye ndo kocha waoMh! Ngeleja hayupo list hii!
mjinga mwenyewe wasanii wa Tanzania ata kodi hawalipi unawalinganisha na usa,umelewa ww c bure.Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
alafu we chiz una tatzo nan athamin vya nyumban we mbona unatoa mfano wa usa unaacha kenya,mjinga kwel weye.Poor minded! Usiwe kama juha! Thamini cha nyumbani!
asantehWewe utachoka kubadili majina juzi tu umejiita Engineer.
ningekua mimi waziri mponda ningeachia ngazi kwa kuiaibisha serikali kiasi hikiFund raising Tanzania!!!KUna fund raising ilifanyika 2009,ikijulikana kama white ribbon fundraising ikiongozwa na first lady pale moven pick,ilikuwa aibu tupu.Super model naomi campbell ndo alikuwa mgeni rasmi.Mwisho wa siku walifanikiwa kuraise 10,000 usd,kiasi ambacho nafikiri hakifikii hata gharama za kumleta naomi...what a shame!!sasa jay dee si ndo wataraise 10,000 tzs au?http://www.google.co.tz/imgres?imgu...=572&gbv=2&tbm=isch&ei=y28PTtTXGszusgaZkv2IDw
Thanks bro!ningekua mimi waziri mponda ningeachia ngazi kwa kuiaibisha serikali kiasi hiki
Acha mzaha wewe, unataka kusema kwa mfano marekani wakitaka kufanya any serious undertaking kama vile kujenga Hospitali ya umma au kwenda vitani wanatembeza bakuli kwa wanamuziki? Na kodi wanazolipa raia je zitaafana kazi gani?Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Acha mzaha wewe, unataka kusema kwa mfano marekani wakitaka kufanya any serious undertaking kama vile kujenga Hospitali ya umma au kwenda vitani wanatembeza bakuli kwa wanamuziki? Na kodi wanazolipa raia je zitaafana kazi gani?
Ukweli ni kwamba ni serikali ya Tanzania tu inayohamasisha watu wachangie kila kitu, kuanzia madawati mpaka ujenzi wa madarasa na shule wakati kodiza wananchi zinatumbuliwa na kuvimbisha matumbo ya watu wasio hata na shukurani. Tulijitolea kwa hali na mali enzi zile za Mwalimu kujenga kwa kuchangia nguvukazi kwa sababu hata ungewatazama machoni viongozi wa wakati ule unapata ujumbe wa wao kuwa "Serious", Je, leo ni kiongozi yupi unaweza kumidentify ndani ya CCM ati ana uchungu na fedha ya walipa kodi? Hapa ndipo ninapowaunga mkono CHADEMA katika hoja kwamba ni jukumu la serikali kupanga na kutumia kodi kwa ajili ya maendeleo yetu na si kuhamasishwa kujitolea kisha fedha iliyokusudiwa kwa kazi husika kuvimbisha matumbo yasiyoshiba ya hawa jamaa wavaa magwanda ya kijani.