Hapa suala siyo bajeti ya marekani! Naona unadakia tu mambo juu kwa juu bila kuelewa! Miradi ya kijamii ya marekani yote inakuwa financed na serikali? Kuna nchi duniani yenye foundations nyingi kama marekani? Katafute data uje na siyo ubwatuke bwatuke tuHivi na wewe wanakuita great thinker au sinker kwanza fund rizing ni kitu gani, unaijua bajeti ya marekani au unaidhania, unafikiri ni kama bajeti ya fiesta ya kuendeshwa kwa fund raising ya wanamziki poor thinking at its best.
wanamuziki wa marekani wana Lebo wewe acha ujuha. Jaydee ana Label gani ya kumfanya achangishe mpunga wa kujenga hospitali? hivi ukisikia Jay Z ni Balozi wa UN unadhani ni sawa na Machozi Band?
Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwani data zako ziko wapi?Hapa suala siyo bajeti ya marekani! Naona unadakia tu mambo juu kwa juu bila kuelewa! Miradi ya kijamii ya marekani yote inakuwa financed na serikali? Kuna nchi duniani yenye foundations nyingi kama marekani? Katafute data uje na siyo ubwatuke bwatuke tu
Wewe utachoka kubadili majina juzi tu umejiita Engineer.Mmh nina wasiwasi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo,watt km nyie hata mkipewa assignment ndogo tu mnashiwa ni sawa na shabiki wa mpira anavyomkosoa mchezaj akiwa uwanjan angal yy hajaw cheza hata mechi ya utoton
Nimeshakupa statistics, huelewi nini hapoKwani data zako ziko wapi?
Unajua maana ya statistics au unafikiri story ndefu ndiyo statistics.Nimeshakupa statistics, huelewi nini hapo
Kumbe ruge ndiye anayeiongoza nchi..?????????Kwani haujatambua kuwa serikali inaongozwa na Ruge Mutahaba? ,Hilo ni dili lingine la Ruge kupitia Serikalini , hapo ni kuchangisha fedha kwa kigezo cha kutengeneza faida ili wachangie ujenzi wa Hospitali lakini chini ya carpet ni ulaji wa nguvu, Sawa tuu na lile dili la eti Flaviana Matata foundation , angal;ai nani yuko behind it hahahaha! Wadanganyika oye!
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Huo ndio ubunifu na si kungoja bajet ya serikali tu. Jee, wewe unaifanyia nini nchi yako? Badala ya kungoja kufanyiwa wewe!
Eti wanalaumu. Nna hakika hii ni njia nzuri tu na ni sera ya ccm ya kuhusisha wananchi na serikali katika kutimiza malengo haraka.
Nyie msiyependa kufanya na mkae mngoje kufanyiwa.
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Nakushangaa wewe uliye balanced unashindwa kuelewa kuwa hata hilo kanisa linangoja michango ya bakuli na ruzuku za serikali. Unanchekesha!Bila shaka utakuwa na matatizo makubwa sana ya uelewa.wananchi wamejichangisha sana tangu 1985 lakini serikali haijawekeza chochote kuhakikisha hospitali hiyo inakamilika.kanisa katoliki waliomba wakabidhiwe majengo yale wayakamilishe na hospitali iweze kuhudumia wananchi lakini serikali ikakataa kwamba iko tayari kuikamilisha, sasa kuikamilisha kwenyewe ndio kutegemea lady jd awajazie bakuli wakati wanatoa misamaha ya mabilioni.kweli ukiwa ccm ama mshabiki wa ccm akili yako inakuwa imbalanced.
Sera za CCM kutimiza malengo haraka? sijui!Huo ndio ubunifu na si kungoja bajet ya serikali tu. Jee, wewe unaifanyia nini nchi yako? Badala ya kungoja kufanyiwa wewe!
Eti wanalaumu. Nna hakika hii ni njia nzuri tu na ni sera ya ccm ya kuhusisha wananchi na serikali katika kutimiza malengo haraka.
Nyie msiyependa kufanya na mkae mngoje kufanyiwa.