Nipe Maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 335
- 190
AJALI imetokea katika maeneo ya makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge kuelekea Ubungo ambapo bajaji imeungua moto mara baada ya askari wa barabarani kuikamata na kutaka kuiwasha kutokana na kosa la kupita kwenye barabara ya mwendokasi.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ambao walikuwa ni abiria wa bajaji hiyo wamesema dereva wa bajaji alijaribu kupita kwenye barabara ya mwendokasi maeneo ya baruti kukwepa foleni ndipo maaskari kuamua kuifuatilia bajaji hiyo.