bajaji ya mizigo!!!!!

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716
Wadau habari zenu, ni LLB graduate ,sina ajira ila kuna sehemu naweza kopa ka mtaji kiasi fulani ninataka ninunue pikipiki ya matairi matatu ya kubeba mizigo sasa kuna mambo naitaji kuyafahamu
1. aina gani ni nzuri ngumu na ina dumu
2. bei gani na wapi pa kuipata
3. je biashara hii inalipa? naulizia cost of operation na muda wastani wa kuishi kwa pkpk hiyo, mi nitaitumia mkoa wa Iringa
 
hata mi nataka kufanya hiyo biashara jamani wadau mtujuze
 
Mkuu hiyo kitu ni business nzuri hasa kwa mikoa hii ya kilimo ila fanya research kwanza hasa maeneo ya kariakoo karibu na Big bon kuna wachina wanaziuza sana but mi nnavyojua zinatofautiana cc na zinarange kwenye mil 3 hadi 4 hv kwendana na cc zake but yenye cc kubwa kuchoka kwake si mapema sana. Itakulipa zaidi kama utaiendesha mwenyewe, ukimpa mtu lawama tupu mara imeharibika gasketi leo mara exhaust malalamiko kibao... au kama vipi umpe mtu unaemuamini sana anaeweza kukufikishia kipande either kwa wiki, mara nyingi wanafanya kipande kwa wiki sema inategemea na goli coz kama huko iringa obvious lazma uweke dau juu kidogo tofauti na sehem zenye competition kama dsm na mwanza.
 
mkuu pale opposite na mlimani city near to former steers ukielekea survey kuna wachina walileta three wheel car, ipo katika mfumo wa bajaji au pikipiki ya miguu mitatu kwa ajili ya mizigo, body yake inabinua na ni 1.5 tons, engine yake ni diesel, ingine yake waweza kutumia kama generator ukapfua umeme, unaweza kuendesha mashine za kusaga pia engine ile inaweza kuvuta maji, quite interesting, niliziona na walinipa picha zake lakini bei walikua hawajapanga
 
Asante wakuu thats y i lyk jf real wa tz lazima tuwe na moyo wa kupeana information kama huu nimewapata real thnk to start this small business coz nikisubiri ajira nitajifia
 
Back
Top Bottom