Elections 2010 Bajaji 400

Kwa vile hatuna uwezo wa kufikiri ndo maana JK anatoa ahadi kama hizo. Kama kwa barabara tulizonazo hata landcruiser inapata shidi kufika baadhi ya maeneo, Bajaji itwezaje? Ndiyo maana Jk wanmsema kuwa ameacha kuwa msanii amekuwa KOMEDI!! kazi ipo....
 
Temeke+Hospital+2


Hospital ya Temeke!
YAANI BAJAJI IPELEKE MAMA MJAMZITO HUKU???
JAMANI MAISHA HAYA!:eyeroll2:
 
Rev na Mwafrika mmetaka kunitoa machozi! ila ambacho sikielewi na siku zoe ntashindwa kukielewa ni kwamba hao watu wanaopata shida ktk hizo picha ndio haohao wanamtaka huyohuyo JK!?? Wht is this!? i don't get this!hivi hawajui kuwa jamaa ni msanii!??? ooh!What the hell!!:sick:
 
Hivi wakuu sasa mtu na akili zake anawaaidi wananchi bajaji! to establish himself as a top man!??jamani jamani jamani!wadanganyika tuamke!OOi OOi! He need a help and we need a help! Mungu ibariki Tanzania na watu wake!!
 
tanzania_mothers_459847artw.jpg


a tanzanian expectant mother lays on the floor as she and others pack a maternity ward while waiting to deliver their babies at the temeke hospital in dar-es-salaam. Maisha bora kwa kila mtanzania.

from there one stands and says ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hii ndiyo nyumba ya baba yake Slaa? Ile tuliyokuwa tunasifiwa kuwa mtoto amekuwa mbunge miaka 15 lakini mzazi anaishi kama Watanzania wengine? :becky:

hata huoni kuwa kwenye picha yupo bosi wako fisadi aliyekubuhu - Jakaya wa Kikwete?
 
Back
Top Bottom