Elections 2010 Bajaji 400

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,234
883
Jamani wakuu wote wa JF naomba sana kama kuna yeyote anayejua kuhusu hii ya Muheshimiwa JK kuahidi Bajaji 400 za kubebea waja wazito kwenda kujifungua! Hii kali ya mwaka!!
 
Jamani wakuu wote wa JF naomba sana kama kuna yeyote anayejua kuhusu hii ya Muheshimiwa JK kuahidi Bajaji 400 za kubebea waja wazito kwenda kujifungua! Hii kali ya mwaka!!

Mkulu LTC,

Hii nchi inaongozwa na vilaza - Kikwete, Makamba na Kingunge
 
Mkulu LTC,

Hii nchi inaongozwa na vilaza - Kikwete, Makamba na Kingunge

Mkuu Kisima hiki kimejengwa kwa Hisani ya Kikwete, Makamba na Kingunge

TATIZO+LA+MAJI+NKOME+GEITA+%281%29.JPG
 
Hawa wastaafu wa Afrika mashariki wanashangilia kazi nzuri inayofanywa na "mstaafu" mwenzao kingunge:

wazeelia.bmp
 
Huyu mama amelala chini kwa furaha baada ya kupewa "zawadi" na polisi wa Kikwete:

2.JPG
 
Huyu mama hakuweza kujizuia kwa furaha aliyokuwa nayo baada ya kuona video ya "bumbuli hoyee" toka kwa January Makamba:

Wazee

Ilibidi askari wa "January oyee, Kikwete oyee, Kingunge oyeee, makamba oyeee" watumike kusaidia ili furaha yake isipite kipimo.
 
Tanzania_mothers_459847artw.jpg

A Tanzanian expectant mother lays on the floor as she and others pack a maternity ward while waiting to deliver their babies at the Temeke hospital in Dar-es-Salaam. Maisha bora kwa Kila Mtanzania.
 
hawa inabidi waletewe burudani toka kwa Marlaw na wenzake ili 'wapate nafuu' mapema
 
Back
Top Bottom