Baiskeli ya kivita

Baiskeli ya kivita

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,424
Reaction score
7,941
Je unaifahamu Baiskeli ya kivita [emoji782]

Basi fahamu leo kuwa hii ni baiskeli ya kivita ilitumiwa na wajerumani kipindi cha vita ya 2 ya Dunia.
Baiskeli hii matairi hake hayana tube ndani ya kujaza upepo (tubeless) yenyewe popote inakanyaga.
FB_IMG_1620160488318.jpg
 
Daaa kumbe wachina walikua wananitapeli kila mwezi naziba pancha gu phonex gwangu kumbe baskeli ya huko jeremani haihitaji tyubu aggggh nilichelewa sana
😂😂😂😂
 
Kwahiyo treni nalo ni gari la kivita? Ndio ni tubeless!
 
Back
Top Bottom