hapana wamasai ndo walidai kuuziwa soda kwa kuomba kupimiwa soda ya shilingi 50 wakati huo soda inauzwa shilingi 150wapare au?
BAHILI;Ndizi moja sh.ngapi? MUUZAJI;Ndizi moja sh.100. BAHILI;Nipe kwa sh.60. MUUZAJI;Kwa sh.60 utapata maganda tu. BAHILI;Shika hii sh.40,nipe ndizi,hayo maganda ya sh.60 yatoe siyataki!
Hapana,wapare ndo hupika samaki halafu wanamimina mchuzi tu,samaki wanamhifadhi kwa ajili ya kumchemsha tena siku inayofuata.hapana wamasai ndo walidai kuuziwa soda kwa kuomba kupimiwa soda ya shilingi 50 wakati huo soda inauzwa shilingi 150