Bahati ya mtende

ninani mwenye kuhitaji mchumba

We mtoto hebu tuheshimiane aisee usitufanye kama wajinga hili ni jukwa la watu wenye akili zao ujinga wako peleka huko FB mnakotongozania alaahh huna adabu nini wewe???
 
We mtoto hebu tuheshimiane aisee usitufanye kama wajinga hili ni jukwa la watu wenye akili zao ujinga wako peleka huko FB mnakotongozania alaahh huna adabu nini wewe???

naona ww hujakua bado!! umetuona wasichana wa JF ni maharage ya mbeya sio??????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…