Tafiti ni ghaliSasa alipata hasira kwa kutugaia nyama ya mamba?
Sasa alipata hasira kwa kutugaia nyama ya mamba?
We unakuaga na comments fikirishi sana. Thumbs up!Umewahi notice namna protagonist anavyoishi kwa coincidences katika muvi?
Mngekuwa kama wale wajeda wa TPDF walinunua mahindi njiani wakafaTulikua wengi, na sikumbuki hata kama kuna aliyechukua namba za ile pick up. Tungeugua sijui ingekuwaje.