Msibani: Mazishi ya ndugu zetu Waislam

Msibani: Mazishi ya ndugu zetu Waislam

Right Way In Light

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2024
Posts
1,322
Reaction score
3,489
Muda huu niko makaburini kama mwanajamii na wananchi wenzagu kumsindikiza ndugu yetu hapa mtaani.

Kama mjuavyo, linapokuja suala la kifo, hutumiwi taarifa ya kabla ili ujiandae maana wote ni wasafiri na dakika yoyote, kituo chako kinaweza kikawa ndio hicho kinachofuata, ukapigwa chini tukakusahaau.

Sasa jamaa hapa mtaani kafariki. Yeye kwa dini ni muislam. So baada ya kusogea muda nikajumuika nyumbani kuwafariji wapendwa.

Kwakweli nimekuwa inspired sana na kwa namna nyingine nikawaza mbali sana.

Mwili umetoka hospitali, ukafika nyumbani. Ukaandaliwa.

Chakula (very simple- wali maharage kiduchu) kikaliwa hata dakika 10 hazikufika sahani zikakunsanywa.

Vijana wakaweka machela yenye mwili wa marehemu begani safari ya msikitini.

Inada ikaisha, mwili kama kawaida ukawekwa mabegani safari ya makubirini ikaanza. Umbali kama 2kms hivi watu wanapokezana jeneza mpaka makaburini.

Tunamaliza kumfukia hapa na shughuli ndio imeisha hivyo. Yaani kwa kifupi tangu mwili ufike toka hospitalini haikuchukua masaa matatu mpaka tunamfukia makaburini.

Very simple. Haina kauwekana wala kuchoshana.

Nikawaza kwasisi wakristo sasa milolongo.

Kwanza hapo mpaka wapigiwe ndugu wote akusanyike, pesa zichangishwe. Hapo kama siku 2 hivi zinakatika kusubiriana mfike. Gharama za kulisha na kulaza kundi.

Muanze kuchapisha ma tshirt ya picha za Marehemu
Muanza kukamatana michango ya jeneza sijui na vitu vingine.
Mtafute camera man na mpiga picha , organization ya magari, mara hili la mke wa marehem, hil la wazazi sijui mataji na mashada ya kuweka kaburini.
Mjiandae kujengea kaburi zege. Hapo usisahau kutafuta mziki wa kukodi kuwaburudisha wafiwa..
Mfululizo wa vikao vya kutosha.
Bado baada ya msiba kuisha, wafiwa wanabaki na madeni. Mara mtu wa catering hajamaliziwa pesa yake. Mara hiki mara kile. Mambo chungu mbovu

Aisee sisi wakristo tuna complicate sanaa haya mambo honestly speaking. Hapa sijaona hata gari moja. Na ndio tushamaliza kila mtu anarudi kwenye shughuli zake.

NB.
Ni mtazamo wangu tu, sio kwa ubaya.

Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
 
Nakubali mazishi na ndoa za kiislam. Haijalishi ni tajiri kiasi gani, hakuna mbwembwe...
Mimi mwenyewe nitawambia ndugu nikifa nizikwe tu mapema na wasitumie cost sijui za aje aje maana ukifa kilichobaki hesabu tu.
 
Wapi kwenye ukristo umefundisha kufanya hizo hatua unazosema ni Complicated? Hizo ni taratibu za dini na makanisa sio Za Kristo. Acha kuchanganya taratibu za kikanisa uziweke kwenye Mfumo wa Ukristo.
 
Muda huu niko makaburini kama mwanajamii na wananchi wenzagu kumsindikiza ndugu yetu hapa mtaani.

Kama mjuavyo, linapokuja suala la kifo, hutumiwi taarifa ya kabla ili ujiandae maana wote ni wasafiri na dakika yoyote, kituo chako kinaweza kikawa ndio hicho kinachofuata, ukapigwa chini tukakusahaau.

Sasa jamaa hapa mtaani kafariki. Yeye kwa dini ni muislam. So baada ya kusogea muda nikajumuika nyumbani kuwafariji wapendwa.

Kwakweli nimekuwa inspired sana na kwa namna nyingine nikawaza mbali sana.
Mwili umetoka hospitali, ukafika nyumbani. Ukaandaliwa . Chakula (very simple- wali maharage kiduchu) kikaliwa hata dakika 10 hazikufika sahani zikakunsanywa.

Vijana wakaweka machela yenye mwili wa marehemu begani safari ya msikitini.
Inada ikaisha, mwili kama kawaida ukawekwa mabegani safari ya makubirini ikaanza. Umbali kama 2kms hivi watu wanapokezana jeneza mpaka makaburini.

Tunamaliza kumfukia hapa na shughuli ndio imeisha hivyo. Yaani kwa kifupi tangu mwili ufike toka hospitalini haikuchukua masaa matatu mpaka tunamfukia makaburini.

Very simple. Haina kauwekana wala kuchoshana.

Nikawaza kwasisi wakristo sasa milolongo.

Kwanza hapo mpaka wapigiwe ndugu wote akusanyike, pesa zichangishwe. Hapo kama siku 2 hivi zinakatika kusubiriana mfike. Gharama za kulisha na kulaza kundi.

Muanze kuchapisha ma tshirt ya picha za Marehemu
Muanza kukamatana michango ya jeneza sijui na vitu vingine.
Mtafute camera man na mpiga picha , organization ya magari, mara hili la mke wa marehem, hil la wazazi sijui mataji na mashada ya kuweka kaburini.
Mjiandae kujengea kaburi zege. Hapo usisahau kutafuta mziki wa kukodi kuwaburudisha wafiwa..
Mfululizo wa vikao vya kutosha.
Bado baada ya msiba kuisha, wafiwa wanabaki na madeni. Mara mtu wa catering hajamaliziwa pesa yake. Mara hiki mara kile. Mambo chungu mbovu

Aisee sisi wakristo tuna complicate sanaa haya mambo honestly speaking. Hapa sijaona hata gari moja. Na ndio tushamaliza kila mtu anarudi kwenye shughuli zake.

NB.
Ni mtazamo wangu tu, sio kwa ubaya.
Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
Waislamu wapo straight kwenye mambo mengi. Msiba very simple and clear kama ulivyoshuhudia, hali kadhalika katika ndoa, talaka na mirathi .Dini zingine tujifunze kwao.
 
Sijawahi, ukristo sio wa wazungu though 😅

so hiki nimeshuhudia ni dini au utamaduni?

Yah, kikubwa imani

Uliletewa na nani kama sio mizungu?

Waliokuletea nao wana mbwembwe kama zenu kwenye mazishi yao? Ukipata jibu utajua kama hizo mbwembwe ni matakwa ya dini au utamaduni wa eneo husika.

Nimeona hapo umesema msiba hauna mualiko, nenda nje uone kama msiba hauna mualiko. Watu hawataki mjazane kwenye misiba yao hata kama mlikua marafiki wa karibu kulinda privacy yao. Kule Ghana wanacheza na maiti siku ya mazishi. Kuna jamii Asia huwa wanafukua kaburi na kukaa na maiti ndani ya nyumba kisha huzika tena. Kuna dini na tamaduni.
 
Muda huu niko makaburini kama mwanajamii na wananchi wenzagu kumsindikiza ndugu yetu hapa mtaani.

Kama mjuavyo, linapokuja suala la kifo, hutumiwi taarifa ya kabla ili ujiandae maana wote ni wasafiri na dakika yoyote, kituo chako kinaweza kikawa ndio hicho kinachofuata, ukapigwa chini tukakusahaau.

Sasa jamaa hapa mtaani kafariki. Yeye kwa dini ni muislam. So baada ya kusogea muda nikajumuika nyumbani kuwafariji wapendwa.

Kwakweli nimekuwa inspired sana na kwa namna nyingine nikawaza mbali sana.
Mwili umetoka hospitali, ukafika nyumbani. Ukaandaliwa . Chakula (very simple- wali maharage kiduchu) kikaliwa hata dakika 10 hazikufika sahani zikakunsanywa.

Vijana wakaweka machela yenye mwili wa marehemu begani safari ya msikitini.
Inada ikaisha, mwili kama kawaida ukawekwa mabegani safari ya makubirini ikaanza. Umbali kama 2kms hivi watu wanapokezana jeneza mpaka makaburini.

Tunamaliza kumfukia hapa na shughuli ndio imeisha hivyo. Yaani kwa kifupi tangu mwili ufike toka hospitalini haikuchukua masaa matatu mpaka tunamfukia makaburini.

Very simple. Haina kauwekana wala kuchoshana.

Nikawaza kwasisi wakristo sasa milolongo.

Kwanza hapo mpaka wapigiwe ndugu wote akusanyike, pesa zichangishwe. Hapo kama siku 2 hivi zinakatika kusubiriana mfike. Gharama za kulisha na kulaza kundi.

Muanze kuchapisha ma tshirt ya picha za Marehemu
Muanza kukamatana michango ya jeneza sijui na vitu vingine.
Mtafute camera man na mpiga picha , organization ya magari, mara hili la mke wa marehem, hil la wazazi sijui mataji na mashada ya kuweka kaburini.
Mjiandae kujengea kaburi zege. Hapo usisahau kutafuta mziki wa kukodi kuwaburudisha wafiwa..
Mfululizo wa vikao vya kutosha.
Bado baada ya msiba kuisha, wafiwa wanabaki na madeni. Mara mtu wa catering hajamaliziwa pesa yake. Mara hiki mara kile. Mambo chungu mbovu

Aisee sisi wakristo tuna complicate sanaa haya mambo honestly speaking. Hapa sijaona hata gari moja. Na ndio tushamaliza kila mtu anarudi kwenye shughuli zake.

NB.
Ni mtazamo wangu tu, sio kwa ubaya.
Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
Sasa utasilimu lini?
 
Waislam wako vizuri sana kwenye mazishi
 
Back
Top Bottom