Bahati nasibu ya kuhamia Marekani-dv 2020 imeanza rasmi

Mkuu unajua kabisa kuwa sitakutafuta, ni vyema utoe maelezo jukwaani Kwa faida ya sana darisalama wote ambazo wanapenda kushiriki.

Sijakulazimisha unitafute.
Napanga mimi mwenyewe nini cha kufanya, kwa nani, kwa utaratibu gani na wakati gani.

Hayupo na hatatokea wa kunipangia cha kufanya au namna ya kufanya.
 
Hayo ni mauzo, faida ni shi ngp?
 
Hayo ni mauzo, faida ni shi ngp?

Kitu cha wiz faida n 100% sa hapo mauzo bei unajpangia ukiwa na duka la jumla lina save sana umeuza vtu vya jumla tuseme v box kila k moja kina faida buku au jero ume sambaza pice 1000 kwa siku hyo n dawa moja bado hesabu ya dawa nyingne faida sio chn ya laki 4 au 5 kwa siku
 
Binafsi,
Sijawahi kupata,
Ila nimechezea watu wengi.

Wenye bahati zao wachache, wamewahi KUCHAGULIWA na mwishowe kupata kabisa VISA.

Hivyo naujua MCHAKATO huu kupitia kufanya, kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Huku nami nikiendelea kubahatisha.
Kabla ya kufungua link niandae vitu gn ili viwe visaidizi ktk kujaza?
 
mkuu unaweza ukatuma kwa kutumia simu?au lazima utumie computer?maana nimepitia wanasema usitumie browser ya zamani kama internet explorer 8 machine zao zitakataa kupokea,sasa nina wasiwasi ukitumia simu inawezekana ika fail,nisaidie mawazo
Picha zenye vigezo vinavyotakiwa, particulars zako sahihi pamoja na wanaokuhusu i.e Watoto na Mke iwapo unao basi.
 
mkuu unaweza ukatuma kwa kutumia simu?au lazima utumie computer?maana nimepitia wanasema usitumie browser ya zamani kama internet explorer 8 machine zao zitakataa kupokea,sasa nina wasiwasi ukitumia simu inawezekana ika fail,nisaidie mawazo
Binafsi sijawahi kutumia simu kutuma Hivyo, siwezi kulisemea hilo kwa uhakika.
Hatahivyo, iwapo Picha Ina sifa zinazotakiwa nadhani haiwezi kuwa shida.
 
Sasa hauoni kua ww tayari mambo yashanyoka na mtaji wa wholesale pharmacy kabisa.wenzio hawana hata mtaji wa duka la dawa muhimu,wacha waende wakajaribu
 
Makandokando ukiwa unamaanisha nini Mkuu???
 
Mwanangu sijakupata vizuri
Nia yangu katika hili ni kusaidia.

Hata hivyo,
Mtu akinihitaji ana kwa ana nitatafuta muda wa kufanya hivyo ila atalazimika kuufidia muda wangu.

Wengi wanauliza chemba,
baadhi wanapiga simu,bila kinyongo tunaelekezana.
Waliopo Mikoni nao hivyo hivyo.
Kwahiyo hulazimiki kunitumia mimi kukujazia mzee.
Ingekuwa ni mradi ningelazimisha watu wanifuate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…