Bahati nasibu ya kuhamia Marekani-dv 2020 imeanza rasmi

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
2,708
Points
2,000

dalalitz

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
2,708 2,000
SHIME TUKUMBUSHANE WALE WA DV-2021 IMEANZA TAREHE 3/10.

NI ZOEZI LA MWEZI MMOJA TU.

WANASEMA KUCHEZA MAPEMA MUHIMU.---------------------------------------

TAARIFA MPYA!!

1. DV-2021 INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 3/10/2019 HADI TAREHE 5/11/2019.

2.TAARIFA ZA HATI YA KUSAFIRIA ZA MUOMBAJI MKUU (Principal Applicant)
SASA NI LAZIMA ZIJUMUISHWE.

MAELEZO MENGINE YANABAKI KAMA YALIVYOKUWA AWALI.

PDF YA MZIGO MZIMA,
FANYA KUNI-WHATSAPP AU CHAKURA MWENYEWE.
(Najaribu kuweka hapa upenuni inagoma)

NAWASILISHA.

------------------------------------------------------

Naam,

Ni ile Bahatinasibu pekee ya aina yake inayokuwezesha Mtanzania kuhamia MAREKANI bila zengwe wala longolongo.

Itambulike;
Hii ni Bahati nasibu hivyo inavyo vigezo na masharti maalum ya kufuatwa/kuzingatiwa.

Mojawapo ikiwa ni Elimu ya Juu kwa kulinganisha na mfumo wa Elimu wa Marekani-(Kuanzia KIDATO CHA NNE kwa TANZANIA)

Ni utaratibu unaofanyika wakati maalum tu kila mwaka.
Ikihusisha Nchi teule kadhaa
TANZANIA tumo.

Ingawa zitakuwepo gharama (Ambazo hulipiwa UBALOZINI) kadiri mchakato unavyoendelea na endapo utachaguliwa,
Hatua kucheza Bahati nasibu yenyewe NI BURE.

Hata hivyo,
Unahitajika umakini kujua nini hasa kinatakiwa kujazwa ili kujiondolea uwezekano wa kuenguliwa mbeleni,
Hasa iwapo utafanya makosa wakati huu wa mwanzoni.

Narudia tena,
Utaratibu wa kuicheza ni BURE na hulazimiki kumtumia wakala/Mimi kukuchezea ingawa kuepuka makosa ambayo yanaweza kukugharimu baadae ni vyema kumtumia Mtu ambae anajua na kufahamu nini kinahitajika kuanzia MWANZO,

NA HAPA NDIPO NINAPOKUJA MIMI.

Kwa gharama ndogo sana njoo tuelekezane,
Tubahatishe na tuombe Mungu huenda Bahati ikawa yako.

Nipigie:+255714591548.

La ikiwa unajiamini unaweza kufanya mwenyewe, Yote kheri mimi sio Mchoyo,
Nakuwekea njia ushindwe mwenyewe.
Soma maelezo kutoka kwenye link hapa chini KWA UMAKINI kisha Endelea ujaze form ya BAHATI NASIBU yenyewe.

Ila usisahau, ukifanikiwa si vibaya ukanikumbuka hata kwa vizawadi hapo baadae.

https://travel.state.gov/content/da...Translations/DV-2020-Instructions-English.pdf

Nawasilisha.
 
Dive

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
491
Points
1,000

Dive

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
491 1,000
Nimesoma maelekezo yao yote kwenye 2020 DIVERSITY IMMIGRANT VISA PROGRAM hii https://travel.state.gov/content/dam/visas/Diversity-Visa/DV-Instructions-Translations/DV-2020-Instructions-Translations/DV-2020-Instructions-English.pdf iliyo katika PDF maelekezo yenye kurasa 18 hii inatakiwa ndani ya dakika 60 uwe umemaliza kujaza fomu hakuna kurudi baadae ili kumalizia kwenye site yao hii Electronic Diversity Visa Lottery

Bahati nasibu hii ilianza 3/10/2018 siku ya Jumatano na itafungwa 6/11/2018 saa za alasiri siku ya Jumanne.

Kuna Passport maalum zinazokidhi viwango za kwako na pia kama una mwenza wako au watoto/mtoto wasizidi miaka 21. Kama mmeachana au kutengana muwe mmefanya hivyo kisheria (mahakama iwe imehusika). Pia hautotumiwa e-mail yoyote unatakiwa uwe unafuatilia na utunze namba yako ili iwe rahisi kufuatilia na kujua kama umepata. Wameonya kujiepusha na matapeli wanaomba pesa hatua za awali hazihitaji pesa.

Halafu kuna maelezo haya
38. If I receive a visa through the DV program, will the U.S. government pay for my airfare to the United States, help me find housing and employment, and/or provide healthcare or any subsidies until I am fully settled?
No. The U.S. government will not provide any of these services to you if you receive a visa through the DV program. If you are selected to apply for a DV, you must demonstrate that you will not become a public charge in the United States before being issued a visa. This evidence may be in the form of a combination of your personal assets, an Affidavit of Support (Form I-134) submitted by a relative or friend residing in the United States, an offer of employment from an employer in the United States, or other evidence. Yaani hautopewa nauli ya ndege kwenda Marekani, hautapewa nyumba au kupangishiwa nyumba ukifika Marekani. Hautotafutiwa kazi au kupewa huduma za afya au ruzuku ukiwa Marekani.
 
dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
2,708
Points
2,000

dalalitz

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
2,708 2,000
Ndugu wadau,

Tuna watu wamebobea kubeza hata kwa wasiyoyajua na wengine kujipa Ujuvi huku wakiwa mbumbumbu.

Mimi ni Dalali yes,
Lakini katika hili Tutasaidiana.

Uliza chochote- na buuure,
Nitakuambia, Ila ukinihitaji ana kwa ana UTAFIDIA Muda wangu,
Lakini kiungwana na kwa Roho Safi,
-Hunilipi.

Hakuna wa kuniongopea hii kitu naijua vilivyo,
Ashindwe Mtu mwenyewe kufikia vigezo na asiwe na BAHATI.
Lakini vikiwepo hivyo na kufuata taratibu, Mchongo umenyooka.

Kwa wale wazee wa kubeza na kuropoka msivyovijua,

Wala msiache,
Endeleeni tu,
Maana Dunia inawahitaji Wajinga pia.
 
Joined
Jul 17, 2018
Messages
17
Points
45
Joined Jul 17, 2018
17 45
Nimesoma maelekezo yao yote kwenye 2020 DIVERSITY IMMIGRANT VISA PROGRAM hii https://travel.state.gov/content/dam/visas/Diversity-Visa/DV-Instructions-Translations/DV-2020-Instructions-Translations/DV-2020-Instructions-English.pdf iliyo katika PDF maelekezo yenye kurasa 18 hii Inakiwa ndani ya dakika 60 uwe umemaliza kujaza fomu hakuna kurudi baadae ili kumalizia kwenye site yao hii Electronic Diversity Visa Lottery

Bahati nasibu hii ilianza 3/10/2018 siku ya Jumatano na itafungwa 6/11/2018 saa za alasiri siku ya Jumanne.

Kuna Passport maalum zinazokidhi viwango za kwako na pia kama una mwenza wako au watoto/mtoto wasizidi miaka 21. Kama mmeachana au kutengana muwe mmefanya hivyo kisheria (mahakama iwe imehusika). Pia hautotumiwa e-mail yoyote unatakiwa uwe unafuatilia na utunze namba yako ili iwe rahisi kufuatilia na kujua kama umepata. Wameonya kujiepusha na matapeli wanaomba pesa hatua za awali hazihitaji pesa.

Halafu kuna maelezo haya
38. If I receive a visa through the DV program, will the U.S. government pay for my airfare to the United States, help me find housing and employment, and/or provide healthcare or any subsidies until I am fully settled?
No. The U.S. government will not provide any of these services to you if you receive a visa through the DV program. If you are selected to apply for a DV, you must demonstrate that you will not become a public charge in the United States before being issued a visa. This evidence may be in the form of a combination of your personal assets, an Affidavit of Support (Form I-134) submitted by a relative or friend residing in the United States, an offer of employment from an employer in the United States, or other evidence. Yaani hautopewa nauli ya ndege kwenda Marekani, hautapewa nyumba au kupangishiwa nyumba ukifika Marekani. Hautotafutiwa kazi au kupewa huduma za afya au ruzuku ukiwa Marekani.
Sasa advantage yake kubwa ni ipi sasa
Hoja yako hasa ni nini?!
 
myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
3,235
Points
2,000

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
3,235 2,000
Sasa advantage yake kubwa ni ipi sasa
Unaingia na kuishi Marekani kwa gharama zako mwenyewe! Ukifika Marekani, unakuwa na haki nyingi sana zinazokaribiana na raia wa Marekani. Haki hizi ni kama vile ajira, huduma za afya, elimu, n.k. Linapokuja suala la ajira ambalo ndio interest kubwa ya watu wengi, ukishakuwa na GC unakuwa na haki ya kuajiriwa sehemu nyingi sana kasoro zile tu ambazo ni very sensitive, hususani kwenye sekta ya usalama.
 
Forum statistics

Threads 1,358,270
Members 519,259
Posts 33,163,948
Top