Bahati nasibu ya kuhamia Marekani-dv 2020 imeanza rasmi

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
2,387
Points
1,500

Tripo9

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
2,387 1,500
Picha zenye vigezo vinavyotakiwa, particulars zako sahihi pamoja na wanaokuhusu i.e Watoto na Mke iwapo unao basi.
Mkuu samahani naomba nijibu hapa hapa.
Family members yaani mke na mtoto mnatakiwa mpige picha moja kwa pamoja au kila mtu na picha yake?
 

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
2,387
Points
1,500

Tripo9

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
2,387 1,500
Habari Waungwana.

Naam,


Kwa wafuatiliaji wapya:
DV-Lottery nini?
Ni aina ya pekee ya Bahati Nasibu itakayokupatia Kibali/Viza ya Kuhamia/Kuishi Marekani upendavyo.

Hutolewa kwa Raia wa Nchi kadhaa tu zilizoainishwa kwa sababu maalum na kwa kwa watu wenye vigezo maalum.

Maelezo na michango ya Wadau ya kuongeza ufahamu wako toka kwa wadau wa hapa JF, Tembelea:


HOJA YA MSINGI MWAKA HUU HUENDA UKALAZIMIKA KUWA NA HATI YA KUSAFIRIA NDIPO USHIRIKI.

Tufahamishane kwa wale ambao hawana taarifa hadi sasa,
Ni kuwa imetoka taarifa kuwa imepetendekezwa kufanyika marekebisho/maboresho kidogo katika taarifa zinazohitajika kwa mchezaji wa Bahati nasibu hii kwa mwaka huu 2019 Oct.
Kwaajili ya Programu inayotambulika kama DV-2021.
Kwa kila Muombaji mkuu
(Principal Applicant) atalazimika aweke taarifa za Hati ya kusafiria.
Hivyo iwapo ungependa mwenza wako nae acheze pekeyake akikujumuisha nawe pia atalazimia kuwa na Hati ya kusafiria vilevile.

Ieleweke:
Ni taarifa ya mapendekezo ambapo yakipitishwa rasmi itatangazwa na kuwa utaratibu rasmi wa kufuatwa wakati wa kucheza mwaka huu.

Mwaka jana na miaka kadhaa iliyopita Mchezaji wa Bahati nasibu hii hakuhitajika kuwa nayo/kuweka taarifa za Hati ya kusafiria (Passport) wakati wa mwanzo wa kucheza (Electronic registration)

Kwanini nimeleta Uzi huu mapema Hii?

Nadhani pengine nimechelewa pia, kwani najua ilivyo changamoto upatikanaji wa Hati ya kusafiria(Passport) kwa hapa kwetu.

Ikumbukwe Dirisha la BAHATI NASIBU Hii huwa linafunguliwa tarehe za mwanzo za mwezi wa kumi na uchezaji unadumu kwa Mwezi mmoja tu hivyo, Naamini kwa ambae anayo Nia ya kushiriki mwaka huu atakuwa na wasaa wa kufuatilia Hati katika muda huu uliobaki kuliko kusubiri hadi siku za mwisho.

Dokezo:
Kigezo cha Hati kinadhaniwa huenda kitapunguza wachezaji kanjanja na wasio na Nia ya dhati kushiriki hivyo pengine kuongeza nafasi ya kufanikiwa kwakuwa idadi itapungua ya wachezaji.

Maswali ya tu,
Namba yangu Ipo kwenye link hapo JUU.

Nawasilisha.
Swali lingine
Picha ziwe na size maximum KB au mb ngapi??
Asante.
 

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
2,698
Points
2,000

dalalitz

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
2,698 2,000
Swali lingine
Picha ziwe na size maximum KB au mb ngapi??
Asante.
Fungua link ambayo Ipo kwenye Uzi mkuu.
Upo ufafanuzi Mzuri/maelezo ya kutosha wa maswali na majibu ya msingi mengi ikiwemo haya.

Vinginevyo kukurahisishia;
Fanya kuni-WhatsApp :+255 714 59 15 48
Nikutumie PDF file nzima.
 

CABANA

Senior Member
Joined
Feb 6, 2013
Messages
169
Points
225

CABANA

Senior Member
Joined Feb 6, 2013
169 225
MKUU NIMEJAZA KILA KITU SAFI ILA KILA NIKIBONYEZA KITUFE CHA NEXT INAKATA NET....YAANI INAGOMA WAKATI BANDO LIPO LA KUTOSHA.
 

Forum statistics

Threads 1,344,963
Members 516,083
Posts 32,841,243
Top