Bahati nasibu ya kuhamia Marekani-dv 2020 imeanza rasmi

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
2,698
Points
2,000

dalalitz

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
2,698 2,000
Mkuu unajua kabisa kuwa sitakutafuta, ni vyema utoe maelezo jukwaani Kwa faida ya sana darisalama wote ambazo wanapenda kushiriki.
Sijakulazimisha unitafute.
Napanga mimi mwenyewe nini cha kufanya, kwa nani, kwa utaratibu gani na wakati gani.

Hayupo na hatatokea wa kunipangia cha kufanya au namna ya kufanya.
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,470
Points
2,000

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,470 2,000
Hii naijua toka nikiwa O-level na shangaz yangu ambae yupo USA ndo aliwahi kunielekeza ila niwa elimishe wengne wanaotaka kwenda USA ila kwa m binafsi wala hata sihitaji
kule inabdi uwe na pesa kama kianzio ndo maisha yako yanaweza yakaenda vzur huku ukiwa una tafta kaz maana mara ya kwanza hua n ushamba kushangaa shangaa

M nikitaka kwenda huko ntaenda ila kwa sa hv sion sababu yakwenda huko na miaka 22 sa hv nasoma pharmacy nikimalza nahtaj kua na maduka makubwa ya dawa za jumla na reja reja heka za mtaj tayar ninazo maana hela zipo na duka la jumla ya pharmacy yan kwa siku yan hapo hakuna wateja sana umeuza laki 4 hv ila siku mambo mazur milion 1-3 sa nyingine kwa siku hapo kwa mwez na bado hujagawa chet.. ili ulipwe

Chakuwa shauri jenga maisha hapa kwanza huko utaenda tu bila hata bahat na sibu weng wanaofanikiwa
maisha hua haya washinda kule m niliwah kufka maisha ya kule n akil kumkichwa na kwenda kule kwa njia ya elm nnrahs sana

Kama una kitu chakufanya jtahd ufanye ufankiwe kwanza huku ndo ujarb na kule weng niliwaona n homeless ukijtahd unapata hela ya kula na kulala sa maisha gan hayo labda kama umeyachagua

Na kama ukichaguliwa sio sababu ya wewe pupata visa na ubaloz nao una mambo yake na ukipata visa ukaenda kule unaweza ukard Tz kusalimia ila haitakiw kuzd miez mi will kwa mwaka ukizidisha tu hapo unapoteza green card yako ambayo ina kufanya uwe permanent residence na kama uki chaguliwa na ukapta interview hutakiwi kuzidisha miez 6 upo Tz una takiwa usepe la sivyo visa yako ita expire na ndo utazuiliwa we komaa na Tz wanao fankiwa huku hata kule maisha yao hua n ya raha sa we maisha huku n tabu ukienda kule una taka eesy money haya utaishia kua porn star
Hayo ni mauzo, faida ni shi ngp?
 
Matyenu

Member
Joined
Oct 12, 2018
Messages
18
Points
45

Matyenu

Member
Joined Oct 12, 2018
18 45
Hayo ni mauzo, faida ni shi ngp?
Kitu cha wiz faida n 100% sa hapo mauzo bei unajpangia ukiwa na duka la jumla lina save sana umeuza vtu vya jumla tuseme v box kila k moja kina faida buku au jero ume sambaza pice 1000 kwa siku hyo n dawa moja bado hesabu ya dawa nyingne faida sio chn ya laki 4 au 5 kwa siku
 
Membe Jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Messages
2,312
Points
2,000

Membe Jr

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2017
2,312 2,000
Binafsi,
Sijawahi kupata,
Ila nimechezea watu wengi.

Wenye bahati zao wachache, wamewahi KUCHAGULIWA na mwishowe kupata kabisa VISA.

Hivyo naujua MCHAKATO huu kupitia kufanya, kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Huku nami nikiendelea kubahatisha.
Kabla ya kufungua link niandae vitu gn ili viwe visaidizi ktk kujaza?
 
nadry

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Messages
599
Points
1,000

nadry

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2017
599 1,000
mkuu unaweza ukatuma kwa kutumia simu?au lazima utumie computer?maana nimepitia wanasema usitumie browser ya zamani kama internet explorer 8 machine zao zitakataa kupokea,sasa nina wasiwasi ukitumia simu inawezekana ika fail,nisaidie mawazo
Picha zenye vigezo vinavyotakiwa, particulars zako sahihi pamoja na wanaokuhusu i.e Watoto na Mke iwapo unao basi.
 
dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
2,698
Points
2,000

dalalitz

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
2,698 2,000
mkuu unaweza ukatuma kwa kutumia simu?au lazima utumie computer?maana nimepitia wanasema usitumie browser ya zamani kama internet explorer 8 machine zao zitakataa kupokea,sasa nina wasiwasi ukitumia simu inawezekana ika fail,nisaidie mawazo
Binafsi sijawahi kutumia simu kutuma Hivyo, siwezi kulisemea hilo kwa uhakika.
Hatahivyo, iwapo Picha Ina sifa zinazotakiwa nadhani haiwezi kuwa shida.
 
zion mkushi

Member
Joined
May 8, 2018
Messages
71
Points
125

zion mkushi

Member
Joined May 8, 2018
71 125
Hii naijua toka nikiwa O-level na shangaz yangu ambae yupo USA ndo aliwahi kunielekeza ila niwa elimishe wengne wanaotaka kwenda USA ila kwa m binafsi wala hata sihitaji
kule inabdi uwe na pesa kama kianzio ndo maisha yako yanaweza yakaenda vzur huku ukiwa una tafta kaz maana mara ya kwanza hua n ushamba kushangaa shangaa

M nikitaka kwenda huko ntaenda ila kwa sa hv sion sababu yakwenda huko na miaka 22 sa hv nasoma pharmacy nikimalza nahtaj kua na maduka makubwa ya dawa za jumla na reja reja heka za mtaj tayar ninazo maana hela zipo na duka la jumla ya pharmacy yan kwa siku yan hapo hakuna wateja sana umeuza laki 4 hv ila siku mambo mazur milion 1-3 sa nyingine kwa siku hapo kwa mwez na bado hujagawa chet.. ili ulipwe

Chakuwa shauri jenga maisha hapa kwanza huko utaenda tu bila hata bahat na sibu weng wanaofanikiwa
maisha hua haya washinda kule m niliwah kufka maisha ya kule n akil kumkichwa na kwenda kule kwa njia ya elm nnrahs sana

Kama una kitu chakufanya jtahd ufanye ufankiwe kwanza huku ndo ujarb na kule weng niliwaona n homeless ukijtahd unapata hela ya kula na kulala sa maisha gan hayo labda kama umeyachagua

Na kama ukichaguliwa sio sababu ya wewe pupata visa na ubaloz nao una mambo yake na ukipata visa ukaenda kule unaweza ukard Tz kusalimia ila haitakiw kuzd miez mi will kwa mwaka ukizidisha tu hapo unapoteza green card yako ambayo ina kufanya uwe permanent residence na kama uki chaguliwa na ukapta interview hutakiwi kuzidisha miez 6 upo Tz una takiwa usepe la sivyo visa yako ita expire na ndo utazuiliwa we komaa na Tz wanao fankiwa huku hata kule maisha yao hua n ya raha sa we maisha huku n tabu ukienda kule una taka eesy money haya utaishia kua porn star
Sasa hauoni kua ww tayari mambo yashanyoka na mtaji wa wholesale pharmacy kabisa.wenzio hawana hata mtaji wa duka la dawa muhimu,wacha waende wakajaribu
 
Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
32,134
Points
2,000

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
32,134 2,000
Mkuu ndio maana ikaitwa Bahati nasibu.

Kama unayo nia utaendelea kucheza.
Ukikata tamaa nayo Hewala.
Lakini, usipotoshe watu na kuwavunja moyo kwa kuwaaminisha kuwa ni ngumu kupata sema;
'INAHITAJIKA BAHATI NA KUTOKATA TAMAA'.

Lakini, kwani unakimbilia wapi ucheze mwaka huu na upate hapohapo?
Shida wengi wetu tuna Kiu ya Mafanikio ya marammoja.

Amini,-wapo waliocheza mara moja tu,
Wakachaguliwa, na mwisho kufaulu Usaili(Visa Interview) wameondoka na sasa wanamambo yao huko.

Hata hivyo nitoe ANGALIZO:
Kuchaguliwa si Tiketi ya kupata VISA,
Kwani ukichemka kufuata maelezo yao tangia awali inaweza kula kwako.
Kwahiyo kama mtu una makandokando yako hasa ya Elimu utapoteza muda kuifuatilia hii kitu, sababu jamaa wapo makini na kwao wao (Vyeti baba!)
Makandokando ukiwa unamaanisha nini Mkuu???
 
dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
2,698
Points
2,000

dalalitz

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
2,698 2,000
Mwanangu sijakupata vizuri
Nia yangu katika hili ni kusaidia.

Hata hivyo,
Mtu akinihitaji ana kwa ana nitatafuta muda wa kufanya hivyo ila atalazimika kuufidia muda wangu.

Wengi wanauliza chemba,
baadhi wanapiga simu,bila kinyongo tunaelekezana.
Waliopo Mikoni nao hivyo hivyo.
Kwahiyo hulazimiki kunitumia mimi kukujazia mzee.
Ingekuwa ni mradi ningelazimisha watu wanifuate.
 
Forum statistics

Threads 1,344,662
Members 515,970
Posts 32,831,232
Top