Kama kweli amekwambia Hivyo basi hiyo ndoa Yako haitadumu.kwenye sentesi ya mwisho ya kuwa Bahati haiji mara mbili ndiyo kwenye ukakasi.Hapo kamaanisha ana mtu mwingine au zaidi.hivyo muda wowote anakugaragaza
Kwamba kachoka kuchezewa bila ya kukutana na hiyo bahati aliyoikuta kwako hivyo weye hupendwi ni vile tu umempa option ya kitu alichokua anakisaka kwa robo karne
Kwamba kachoka kuchezewa bila ya kukutana na hiyo bahati aliyoikuta kwako hivyo weye hupendwi ni vile tu umempa option ya kitu alichokua anakisaka kwa robo karne
Kila la kheri,kama umejiridhisha kukubali kirahisi hivyo kuwa anakupenda,maana yeye kuolewa kaona bahati,na hayo mambo ya kupenda kwake yatakuja yenyewe...
Zingatia neno "bahati haiji Mara mbili" anamaanisha ukilinga anakubaliwa mwenzako. Sasa wewe elewa kabisaaa Kabla haujaoa tayar mpo wengi na mna uwezo sawa.