Kila la kheri,kama umejiridhisha kukubali kirahisi hivyo kuwa anakupenda,maana yeye kuolewa kaona bahati,na hayo mambo ya kupenda kwake yatakuja yenyewe...
Huwa najiuliza mtu anasema kitu fulani ni kibaya ukimuuliza uliwahi kukionja anasema hapana sasa ubaya wake aliouna wapi?kabisa waoe kwanza wajue siyo kujikatia tamaa.