Baharia tunza 'mpini' wako vizuri

mkuu nawe ni ke nidokeze kidogo huenda tunafichwa na wake zetu then tunajiona vidume kumbe la
Umri unavoongezeka na majukumu na msongo wa mawazo kuzisaka pesa automatically pesa inatafutwa kwa jasho na uchovu ndugu

huwezi kuwa na pesa afu unamkamia mwanamke bao 4 km jobless people
Wengi huishia 2 ama kimoja analala kachoka!
 
Mazoezi, mazoezi , mazoezi ya kukimbia, kutembea, ruka kamba nk yawe sehemu ya maisha yako....ukuni utakuwa imara
 
Umri unavoongezeka na majukumu na msongo wa mawazo kuzisaka pesa automatically pesa inatafutwa kwa jasho na uchovu ndugu

huwezi kuwa na pesa afu unamkamia mwanamke bao 4 km jobless people
Wengi huishia 2 ama kimoja analala kachoka!
ha ha ha unamaanisha wanaotoa magoli mengi ni majobless?
 
Wana muda na low stress

We mtu kama Mo kwa mfano unamuona ni mtu wa kukaa kiunoni mwa mtu muda mrefu.?he's busy the whole wth the whole Mo Empire
Unagawa muda tu, kuna kutafuta na kuna kuishi pia.....ukiwa bize muda wote ni kujichosha tu, pangilia muda vizuri tu.
 
Mu
Chagua moja,kupafomu chini ya kiwango au kukula vyakula asilia.

Uamuzi ni wako mwamba
Muhimu ni kuhakikisha lishe iko vizuri,huku ukipafomu kwa viwango vinavyotakiwa kila siku kwenye zoezi husika.
 
Umri unavoongezeka na majukumu na msongo wa mawazo kuzisaka pesa automatically pesa inatafutwa kwa jasho na uchovu ndugu

huwezi kuwa na pesa afu unamkamia mwanamke bao 4 km jobless people
Wengi huishia 2 ama kimoja analala kachoka!
sasa kwa mtizamo wako hapo ni yupi bora kati yao
 
Kunae mott mmoko hiyo anaitwa F alikuwa huku kijijini last time nilimkunja hatar mpKa aka squirts sio mchezo

Shida ameolewa ila nimepewa promise ya kuzaa nae December atakuja tens special for me

Unamkunja raia mpaka anakungata kumamae!
 
Back
Top Bottom