katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,719
Before marriage nilikutana na mtu ni ameshiba nikasema leo lazima nilewe japo nisisikie mapigo nikawa mawazoni .Wanawake wengi wakifikia miaka 30+ hupenda sana tendo na kuridhishwa ipasavyo. Sasa kwa baharia kama hatakuwa na nguvu za kutosha lazima kutakuwepo na migogoro au migongano isiyokuwa ya lazima. Mfano bibie atataka apewe saba sasa wewe uwezo wako ni kimoja baada ya masaa 12, hapo ni lazima dharau na kuchepuka kuwepo. Au bibie atataka akunjwe hivi, wakati huo wewe hiyo pumzi huna.
Mbaya zaidi wakati wewe umemaliza, mwenzako anakuambia bado yeye anataka...huku ukiangalia mpini ulishalegea. Hiyo ni fedheha sana wakuu. Tujitahidi kutunza mipini yetu na kuimarisha afya zetu wakati tukiwa vijana ili tuwafurahishe wapenzi wetu huko ukubwani na uzeeni.
Nimechi ya big show na katoto kazuri sasa nikawa napiga tu tungi tena mechi hiyo nimeridhia basi mpendwa kila kitu was amazing ila kimoja tu ni mpini.
Kimoja tu kalala unamuamsha haamki.
Nguvu yote kumbe hewa yupo nimeshamaliza 🙄🙄 nikakaa nikaona ngoja nilale .