donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Had a great day today [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1957266View attachment 1957267View attachment 1957268
HatariMambo ya vibua hayo.
Naam
Sawa mkuukwenye attachment umechemka
Samaki watamu sana hao.Hatari
Ni balaa mkuuSamaki watamu sana hao.
Yani wakiwa wametoka kukaangwa wanakuwa watamu sana aiseeUnajichaguliaView attachment 1957581
Upate na kiugali laini mixer kachumbari walai..Yani wakiwa wametoka kukaangwa wanakuwa watu sana aisee
Acha kabisa,chakula changu cha haraka hiko...Upate na kiugali laini mixer kachumbari walai..
Uko vizuri mkuuAcha kabisa,chakula changu cha haraka hiko...
Asante mkuu,karibu.Uko vizuri mkuu
Ni balaa, unashtka mpunga umekataYani wakiwa wametoka kukaangwa wanakuwa watamu sana aisee