Bag party!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bag party!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkeshahoi, Sep 13, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nimeizoa toka Redio flani... ni mfano wa pati ya jiko(kitchen party), kwa ajili ya kuwafunda madume yanayotarajia kuoa...!!
  Je..kitu hyo yahitajika au ndo ujasiriamali? Ni kitu gani walume wanaenda kufundwa?...
  Weledi wa mambo nijuzeni plz!!
   
Loading...