kuuliza si ujinga eti wadau hivi mtu mwenye shahada ya BAED anatofauti gani na yule mwenye shahada ya BED kwani naona wote wamesomea tLUUM moja msada pls
kuuliza si ujinga eti wadau hivi mtu mwenye shahada ya BAED anatofauti gani na yule mwenye shahada ya BED kwani naona wote wamesomea tLUUM moja msada pls
wote ni walimu lakini tofauti zao ni BAED ni Bacherol of Arts with Education mwalimu mwenye BAED huwa amesomea masomo ya general education machache na masomo ya kufundishia "teaching subject" zaidi ya moja mfano English na kiswahili wakati mwalimu mwenye BED "Bacherol of Education" husomea masomo ya general education(philosophy of education, psychology, nutrition na mengineyo mengi) mengi kuliko mwenye BAED na somo la kufundishia moja tu na walimu hao ni mahususi sana kwa ajiri ya kuwa wakufunzi wa vyuo na maadminstrater wa elimu, kwa uhakika zaidi hembu angalia ajira zilizotoka folder la walimu wenye shahada walopelekwa vyuo vya ualimu utakuta sifa mojawapo ni kuwa wana BED! Mfano utakuta kaandikiwa BED kiswahili ina maana kasomea general education kwa sana somo la kufundishia moja tu la kiswahili Lakini BAED ni mahususi kwa walimu kwenda Sekondari ingawa hata wenye BED wanapelekwa sekondari kwa sababu tu kuwa vyuo ni vichache kuliko wanaohitimu BED na ndo maana kwa mwaka huu wameajiriwa vyuoni wakufunzi wenye BED kama 50 hivi na wengine wamepangwa sekondari