Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Steve D huoni kuna ushirikiano wa kimataifa (international relation) katika ku-cover hili soo la BAE? Ndio maana nasema kama UK haiko clean kwa kutofanya prosecution baada ya SFO kumaliza upelelezi kwa nini wanajifanya clean katika suala zima la kurejesha vijisenti? Why should one government pretend it is cleaner than the other government given that they eat/ate together as per international relations? What is the catch - Elections?
Kamanda, the two elections under way in either country are totally unrelated. At any moment whatsoever, I wouldn't dare bear in mind that grand gesture by BAE is somewhat linked to upcoming elections in UK. Labor has other compounding issues on the ground to worry about far from this corporate corruption scandal. However I can bet my last dime kwamba, hela hizo zingepelekwa moja kwa moja kwenye coffers za serikali - hakika asilimia kubwa ingelipotea kabla ya uchaguzi mkuu unaukuja. Something synonymous to mabillioni ya EPA yaliyosemakana kurudishwa.
Compa, it is quite fair to mention the issue of international relationship. Lakini ni mhimu kukumbuka kwamba waliopigwa faini na Amerika hapa ni BAE wala siyo UK government. The UK gov was just the endorser since bidhaa zilikuwa inauziwa serikali nyingine (URT)... The same thing I read about UK na Saudi Arabia; the culprit are BAE. Kuwageuzia ubao UK gov kwa ujumla wakati mijizi upande wetu bado inahudhuria bungeni ni kuonesha umarhuni wetu na jinsi tunavyopenda vya dezo. BAE have paid a fine to US and a token (alms) to Tz, sisi je walanguzi na wahujumu uchumi wetu tumewafanya nini?