Bae niongezee hela ninunue S9+

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comment yake imenichekesha maana nimekumbuka tukio langu la juzi juzi. kuna mtu aliniambia niagizie nachokitaka Dubai nikaagiza nywele. Nywele zimefika kumbe hana hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nikalipa 250k mwenyewe na inaniuma hadi leo kumbe alikua anataka sifa tu kwa rafiki angu wakati hana 100. Ila nilimchambaaa kwa kunitia hasara ya hela yote2 hiyo
 


Mademu dizaini ya Wema Sepetu wako wengi sana mjini, ukiwa nao utalostika tu.
 
Hasara umepata vipi kwani nywele hujapewa?
 
Mkuu RRONDO, nitumie number yake nimuwezeshe huyo ex wako mtarajiwa

Afu mbona wewe umevuta VW bila kuwaza kufanyia biashara. Kila mtu na starehe yake chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…