Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Mi najua kula,kulala basi mengine fanyeni nyie nimewaachiaHata mpwa wangu mwenyewe umri wa miaka 10 hana akili ndogo kiasi hicho chako. Ukipiga nae stori anakwambia mipango yake ya 2060 huko ikiwa ni pamoja na yeye kuwa raisi.
Sasa wewe hata mipango ya mwakani tu inaonekana huna, nahisi utakuwa na miaka 7 kabisa kiasi kwamba unajua kula tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli, Umeona mbali sana.
Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!
Majaribu kivipi?Acha kunipa maajaribu
Ndio kusema nimeruhusiwa kugombea au?Dah Mungu anipe nini tena...
Penye miti hapana wajenzi....2.3M nikanunue simu? Labda kwa sababu sina ila sinunui ng'ooo hata nikipewa. Bora nikanunulie hisa kwenye vicoba najua mwisho wa mwaka sikosi faida ya 1M.
Hii ndio akili.
Mkuu boda boda siku izi unalaza 20,000 kwa siku?4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
Wazo zuriMwambie atumie hela yake halafu ww utamrudishia[emoji3][emoji3]
Ningeichukua sema ningemwambia beb ukweli kuwa sikununua simu nimefanyia mengineHii ndio akili.
Kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Penye miti hapana wajenzi....
Bila shaka mmenielewa
Snap chat tuuuuu. Halafu tukiwa na simu nzuri mnatuona matawi kama ukinitongoza unanitreat vizuri. Ndo wanavyosema lakini sio mimi [emoji23][emoji23]I hate to generalize and/ or stereotype...but damn!
Mademu wa kibongo na simu!!
What’s up with that?
Nilisikia 10,000 kwa siku zamani lakini..... kama ni hivo ngoja nijichange niwe nayo 😀Kwano ilikiwa sh ngapi?
Thubutuuuu [emoji23][emoji23][emoji23]Vipi usha deliver zile iPhone Z sijui X?
Mimi Hujaniomba Ningekutumia sasahivi....tiGO pesa!Ila wanaume jamani mie naona akili zenu hazitaki tu kuombwa hela
Mbona mimi nimeomba ya kuongezea mtaji naambiwa pambana na hali yako?