Bado wanawake na wanaume bora wanapatikana

Bado wanawake na wanaume bora wanapatikana

wapo tatizo kumpata your soulmate wacha niwekeze kwanza huyo mwanaume atakuja baadae wakati Mungu akisema sasa ni wakati wangu....Unaweza kumsubiri mpaka ukasema ivi huyu wa ubavu wangu walimpika kuni au laa...kila unayetaka kuwa naye close ni bomu ,,uwiii wacha niende likizo kwanza nikasahau machungu ya walimwengu
 
Ni katika kujipendekeza pia, ana makaka wengi na mimi ninatafuta mume.
Ahhhhh mkuu unaniangushaaa tabia za miss chagga=tabia za kaka zake, nani kakuambia tabia huambukizwa... Personality traits hazifanani mkuu...
 
Back
Top Bottom