That is romantic it means yours is not romanticHabari wakuu,
Naomba tu kujuzwa, bado kuna wanaume ambao wanapenda mpaka wanalia kabisa?
utamu atiiSijui wanaliaga nini! Kwani wao ndio wameumba?
Ha ha ha haaaaa...Wapo wengi tu
Ila wengi wao wapo location katika production ya movie fulani