Bado unaamini mwanamke akitongoza ni malaya ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado unaamini mwanamke akitongoza ni malaya ?

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaNanii, Nov 17, 2011.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Nipe maoni yako wewe unaamini vipi ?
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hapana
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Bado naamini
   
 4. P

  Pitahx Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Apana, mimi nimetangozwa na zaidi ya wanawake 4 na 2 walikua bikila.
   
 5. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  bikila?khaaa
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ina maana hizo sura zilizomo hapo zinahalalisha mwanamke kutongoza ama?
  kwamba wasitegemee kutongozwa kama wana sura zinazofanana na hizo ama?
   
 7. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inategemea na staili atakayokutongozea, we mwenyewe utamsoma tuu huyu ndiyo ama siyo?
  akili kum-kichwa kaka zangu!!
   
 8. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yeyote anayetongoza ni malaya, haijalishi ni Mwanamme au Mwanamke.
   
 9. m

  mamanzara JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 655
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Inategemea, kwani baadhi ya wanaume wanaotongoza pia ni malaya. Ila sijaelewa uhusiano wa picha za hao wanawake na mada.
   
 10. Purity Emmanuel

  Purity Emmanuel Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanamke kutongoza si umalaya na wala siamini hivyo......nachoamini mimi ni hiki mwanamke kutongoza ni kutokua na soni
  Japokua sijaelewa hiyo picha hapo ina uhusiano gani na mwanamke kutongoza
   
 11. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  kutongoza ni kutongoza hamna stail hapo
   
 12. Brine

  Brine JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 376
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hakuna haja ya kujibu zaid, hii inatosha
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  inategemea
   
 14. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wadada kutongoza ni kawaida wengi wao awapendi kutongoza wanaume wenye maneno mengi.ukiwa smart boy mbona hayo mambo ya kawaida sana kutokewa na mabinti.
   
 15. d

  dr chris Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ina maana mr gozo tuseme hao wote wa 4 walivyo kutongoza ndio uliwakubalia na ku do nao wote mpaka uamin bikira ni wawili au kuna njia gani ulitumia mpaka uwajuwe? kama ni hvy huenda we mwenyewe malaya jifunnze kusema H.
   
Loading...