wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,057
- 1,710
Kiukweli mimi binafsi sina imani na utawala huu hasa kauli zao zilivo ni kama hawaishi nchini hapa yaaan ni kama wamevaa miwani ya mbao hawaoni ? .Yaan jameni tuungane wale buku 7 hawana hoja yaan wao wapo kupaka rangi tu .tuungane kuitoa CCM ni bora tujaribu upande mwingine tupambane ni bora uwe huru unakula chakula kibaya kuliko sasa ila muda huongea tufikishe milion 3 tuwe na uhakika 2020 tutafika naiunga mkono UKAWA KWA ASILIMIA ZOTE HATA KAMA WANAKOSEA ILA MABADILIKO MUHIMU SANA .